'Lockdown' yapendekezwa nchini

Unajua kinachonishangaza ni kitu kimoja. Kuna watu wanashabikia corona kisiasa na kuacha wataalamu kutoa miongozo. Mfano kipindi kile cha mwendazake eti watu wapige nyungu halafu kuvaa barakoa hakuna. Inaingiaje akilini? Ugonjwa unasambazwa kwa njia ya hewa vaa barakoa then katika njia za kupambana jifukize.
lets say mtu anafanya shughuli zake ktk misongamano ya watu mfano kkoo havai barakoa huoni ana chances nyingi.za kuleta maambukizi home kwa wengine.
 
Naomba nitoe muongozo 1.sitachanjwa 2.barakoa sitavaa kamwe 3.sitajifungia ndan... Hata nikifa kwa korona ni bora kuliko kuwa mtumwa wa mabeberu.
Mungu amejisazia watu maelfu kwa maelfu ambao hatuko tayari kuwa mandondocha. Ubarikiwe mkuu.
 

Mkuu hili hili kundi la vijana ukiliwekea kizuizi cha kukaa ndani litaifanya shughuli ya kugegedana kwa kiwango cha juu.

Fikiria wanafunzi wa sekondari, wa vyuo na bado ma graduate kibao uwaambie sasa ni kukaa magetoni/nyumbani tu.

Kenya wamepata hili tatizo watoto wamefanyiwa sana ukatili wa kingono.
Kwenye kuzaliana Mkuu kuzaliana hata binti wa miaka 16 anaweza kubeba mimba si lazima awe kaolewa
 
Yes nimekuelewa sn mkuu .lkn swala la lock down Kwa kweli MUNGU aliepushe mbali..Mimi nitakuwa wa Kwanza kulipinga wakileta hicho kitu
 
Fact
 
Tatizo ni rushwa iliyotolewa na madalali wa chanjo, 10% ndio imewaroga, hiyo tume unaweza hisi ilijaa mataahira
 
kale ka hadithi ka Juu ya mti kuna joka, chini kuna simba Na mtoni kuna mamba ndo kamefika sasa.....

#SichomwiSindanoYaMabeberu.
 
Kwa kweli, kwenye hii dunia ukimuona mtanzania yeyote kuwa nae makini sana. Kuanzia raisi kushuka mpaka kwa watu wa kawaida. Miaka 60 baada ya uhuru watu wanaiba, halafu unaambiwa tukachome haya machanjo na watu hawa hawa wanaoiba bila aibu? Kweli Mungu atusaidie kama Magufuli alivyotuambia. Nyie watanzania ikiwezekana hawa viongozi wote wa ccm , upinzani na wastaafu wafungiwe kwenye lile bunge na wachomwe MOTO mpaka waive. China, Russia, USA, Italy n.k, walifanya hivi ila kwa njia tofauti na sasa wamepiga hatua. Tuwachomee hawa wanojiita viongozi wa watanzania. Tubaki na Damu ya vijana tuuu.
 
Mume wake yupo kwenye hao wenye kamati, na pia anafanya kazi kwenye who
 
Naomba nitoe muongozo 1.sitachanjwa 2.barakoa sitavaa kamwe 3.sitajifungia ndan... Hata nikifa kwa korona ni bora kuliko kuwa mtumwa wa mabeberu.
Tatizo mkuu hauelewi hayo yote unayojiapiza kutoyafanya, yanafanyika fanyikaje!

Ukichanjwa unapewa kadi inayokuruhusu kutembea popote ndani na nje ya nchi.

Hautaruhusiwa kuzurula barabarani mdomo wazi bila ya kuvaa barakoa.

Kujifungia ndani si kwa hiyari yako wewe, bali ni kwa lazima na ukikaidi utakutana na mikong'oto ya kufa mtu barabarani mpaka mwenyewe utalia poh!

Mambo yote hayo hayafanywi kwa utashi wa mtu bali hufanywa kwa shurti serikali ikiamua.

Hivyo basi, tumuombe Mungu sana atuepushe na balaa hili linalotaka kuja usoni petu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…