Tulisha bugi hii issue Lockdown ingeenza mapema tena kufunga Usafiri wa Anga wasiingiee hawa wazungu na wazurulaji wa hapo Bongo kama yule Mmama aliyegundulika na Corona .Meneja wa diamond na Mwanafalisafa
Sasa hivi tungekuwa tunadunda tu kama kawa ila kwa sasa tumeshaharibu kila kitu ugonjwa umeshasamba nchi nzima
Leo utasikia kimewaka
Dar
Arusha
Dar
Mbeya
Mtwara
Kigoma
Kagera
........
.........
...
Ee Mwenyezi Mungu tunaomba utukinge na kutukoa na huyu shetana kolonya
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maana na hii mpya ya kujivukiza nayo ni sahihi kabisaNjia zote zinazotumika hivi sasa ni sahihi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Africa Total lockdown haifai,inayotufaa ni partial lockdown,sababu zaidi 70% ya Watanzania wanategemea watoke ndio wale.Watu wachache wanalaumu hatua zilizochukuliwa Tanzania kwenye kupambana na Corona, wengine wanafikiri serikali inapaswa kufungia wananchi ndani (lockdown).
Wananchi wanafikiri Uchumi wa Tanzania hauna uhusiano na Uchumi wa mtu mmoja mmoja, Uchumi wa Tanzania ukianguka basi jua na uchumi wa mtu mmoja mmoja utaanguka na maisha yatakuwa magumu.
Maisha ya watu wowote pale Duniani utegemea uchumi wa Nchi. Uchumi wa Nchi ukianguka basi maisha ya watu yanakuwa magumu sana maana hata akiba ya taifa ya kununua huduma za jamii kama vifaa tiba na madawa unakosekana.
Nchi itakosa kulipa watu mishahara, mabenki yatafirisika maana BOT itashindwa ata kuongeza ukwasi kwenye mabeki “liquidity injection”.
Gharama za maisha zitakuwa juu maana serikali itakuwa haina uwezo hata wa kustabilize vitu, mfano sukari ikipanda bei kutokana na uzalishaji mdogo wa ndani basi serikali inayojiweza kiuchumi inaagiza sukari nje ili kushusha bei ya sukari iliyopo na hvyo maisha kuwa nafuu.
Mfano wa madhara ya kuanguka kwa uchumi wa nchi ni nchi ya zimbabwe ambapo maisha yamekuwa ghali sana na kusababisha wananchi wengi kukosa huduma za kijamii asa wale maskini.
Lawama zinazotolewa na watanzania kuwa Serikali inathamini Uchumi kuliko maisha ya watu na kusahau kuwa Uchumi wa Nchi ndio Maisha ya watu, Uchumi wa Nchi ukianguka basi tegemea Vifo vingine kutokana na kukosa mahitaji muhimu, leo hii Trump kagoma kuongeza muda wa kukaa ndani, Brazili uko wananchi wanaandamana watoke nje na south Africa wameanza kuweka utaratibu wa kutoka nje.
“Lockdown haifai kabisa Tanzania”,
Sent from my iPhone using JamiiForums
Familia ya Prof. Mahiga inaku prove wrong.Watu wachache wanalaumu hatua zilizochukuliwa Tanzania kwenye kupambana na Corona, wengine wanafikiri serikali inapaswa kufungia wananchi ndani (lockdown).
Wananchi wanafikiri Uchumi wa Tanzania hauna uhusiano na Uchumi wa mtu mmoja mmoja, Uchumi wa Tanzania ukianguka basi jua na uchumi wa mtu mmoja mmoja utaanguka na maisha yatakuwa magumu.
Maisha ya watu wowote pale Duniani utegemea uchumi wa Nchi. Uchumi wa Nchi ukianguka basi maisha ya watu yanakuwa magumu sana maana hata akiba ya taifa ya kununua huduma za jamii kama vifaa tiba na madawa unakosekana.
Nchi itakosa kulipa watu mishahara, mabenki yatafirisika maana BOT itashindwa ata kuongeza ukwasi kwenye mabeki “liquidity injection”.
Gharama za maisha zitakuwa juu maana serikali itakuwa haina uwezo hata wa kustabilize vitu, mfano sukari ikipanda bei kutokana na uzalishaji mdogo wa ndani basi serikali inayojiweza kiuchumi inaagiza sukari nje ili kushusha bei ya sukari iliyopo na hvyo maisha kuwa nafuu.
Mfano wa madhara ya kuanguka kwa uchumi wa nchi ni nchi ya zimbabwe ambapo maisha yamekuwa ghali sana na kusababisha wananchi wengi kukosa huduma za kijamii asa wale maskini.
Lawama zinazotolewa na watanzania kuwa Serikali inathamini Uchumi kuliko maisha ya watu na kusahau kuwa Uchumi wa Nchi ndio Maisha ya watu, Uchumi wa Nchi ukianguka basi tegemea Vifo vingine kutokana na kukosa mahitaji muhimu, leo hii Trump kagoma kuongeza muda wa kukaa ndani, Brazili uko wananchi wanaandamana watoke nje na south Africa wameanza kuweka utaratibu wa kutoka nje.
“Lockdown haifai kabisa Tanzania”,
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa sasa tunavuna mbegu ya kuwaweka madarakani vilaza wasomiTulisha bugi hii issue Lockdown ingeenza mapema tena kufunga Usafiri wa Anga wasiingiee hawa wazungu na wazurulaji wa hapo Bongo kama yule Mmama aliyegundulika na Corona .Meneja wa diamond na Mwanafalisafa