Labda macho yangu.
Lakini kwa pick up ni bei rahisi wakuu,halafu kama ni lile toleo la roho ya paka basi hapo mtu atatumia mpaka wajukuu.
Maana body ipo vizuri sana.Halafu zina body kubwa kuliko hivi vi carry vyetu,tofauti ni ndogo tu ya ulaji wa mafuta.
Hembu tupe sababu ya kuuza,na imetumika bongo tangu lini.
Na je Engine imewahi kufunguliwa kitu?
Na je ni four wheel au?maana sikumbuki kama kuna four wheel hili toleo
Na hapo kwenye picha naona Driver yuko kwenye kazi,je unauza na driver au?hahaha lugha ya kibiashara umenielewa ila wengine watasema nanunua mtu