Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Ndio yaani wawe na machine za kuscan katika shughuli zao. Hii itawasaidia sana ktk shughuli zao.Daladala za Mbagala rangi3
Ndio yaani wawe na machine za kuscan katika shughuli zao. Hii itawasaidia sana ktk shughuli zao.
Itawasaidia wananchi kuacha kutembea na hela mkononi, Na kufanya malipo salamaItasaidia kina Nani hao?
Serikali?
Wamiliki wa Vyombo vya Moto?
Madereva na makondakta?
Hii ni faida kwa wote.Itasaidia kina Nani hao?
Serikali?
Wamiliki wa Vyombo vya Moto?
Madereva na makondakta?
Itawasaidia wananchi kuacha kutembea na hela mkononi, Na kufanya malipo salama
Wizi hautakuwepo maana hakuna mwenye uwezo wa kuiba kadi ya mtu maana itakuwa na Jina, Anwani, Simu namba na Sura broLile Nyomi la Gongo la Mboto ndio uende na kadi yako?
Na kwa nchi hii iliyojaa ghilba na utapeli, wenye madaladala binafsi wanaweza jikuta wanadai pesa zao mpaka wasage meno.
Serikali ya nchi hii kwa kukwapua pesa za taasisi hasa kipindi cha campaign, itaenda kukwapua hizo pesa zote kutoka huko huko zinakupitia kama ni bank ama kwenye simu.
Umeangalia upande mmoja TU wa ustaarabu,,Kuna upande WA pili jamii unayoishi ustaarsbu upo,vipi pia kuhusu usalama na pia mifumo bongo ikoje?Hii ndio Tanzania, amani iwe nanyi !
Napendekeza tuwe na kitu kinachoitwa "LOCAL TRANSPORT CARD". Hii iwe kadi maalumu itakayo jazwa pesa kupitia mifumo ya kifedha ya hapa hapa nchini (Local Banks, Mpesa, Tigo Pesa, Z-pesa, Airtel Money Halopesa nk) na kutumika kwake iwe kwa scan pekee katika kutoa pesa kwenda kwenye vyombo husika (Magari au Kampuni ya Usafiri wa Umma).
Hii kadi itumike katika vyombo vyote vya Usafiri wa Umma hapa nchini kuanzia Bodaboda, Bajaji, Daladala na Mabasi ya Mikoani.
1. Kwa kupitia njia hii itapunguza sana usumbufu katika usafiri wa Umma kuanzia Daladala za mitaani, Magari ya Wilayani na yale ya kwenda mikoani.
2. Tutakuwa tumeondoa kabisa changamoto ya usumbufu kwa mwananchi kutembea na fedha nyingi atakapo kusafiri.
3. Tutaimarisha Usalama wa nchi kwa Serikali, Abiria na Wamiliki wa vyombo vya Usafiri.
4. TRA mtakusanya mapato yenu kwa njia rahisi sana sambamba na nyie halmashauri husika mliopo maeneo husika.
NB
Malipo salama kwa maendeleo yetu sote.
5. Tutakuwa watu waliostaarabika, tutalindana utu wetu na tutajipatia maendeleo kwa haraka.
Karibu.
Ndio zije sasa hizo kampuni za IT zilizo sahihi na zenye uwezo wapige kazi tufurahie maendeleo yetuUmeangalia upande mmoja TU wa ustaarabu,,Kuna upande WA pili jamii unayoishi ustaarsbu upo,vipi pia kuhusu usalama na pia mifumo bongo ikoje?
Naungana na ww kwa wazo zuri,lakini najaribu kujenga hoja pia kwa maswali hapo juu
HaaaaahaaaaaHata mabasi ya kizimkazi ?
SawaHaaaaahaaaaa
Ndio yaani mabasi yote. Polisi wa Usalama watakuwa wanakagua Transport Card. Hii itasaidia kuondoa uhamiaji haramu hapa Bongo.
Nyongeza hapa mkuu. Matumizi ya NFC cards. Simu janja kibao sasahivi zina support NFC ilikuwa ni jambo rahisi sana kubeba card ni ishu za kizamani sana dunia iko kiganjani ulipo simu yako ipo na wewe ni kiasi cha kutengeneza app ya malipo iwe na IOS na android app. Plus POS zake, raia tuna download app tuna weka hela kwenye wallet za hii Local Payment App ina kuwa mwendo wa kutap simu zetu kwenye POS za watoa huduma kama daladala, mwendokasi, dukani etc. Hii inge punguza kasi sana, currently nilikuwa na pambana ku intergrate N card kwenye simu ili fail kz IOS zina issue dynamic keys while Ncard ni static hii ingekubali means card ya Ncard ningeacha tumia ningebaki na punch kwa kutumia simu yangu tu. Hii ingeleta mapinduzi makubwa sana kwenye cashless society kz karibu kila mtu sasa ana tumia android phone.Hii ndio Tanzania, amani iwe nanyi !
Napendekeza tuwe na kitu kinachoitwa "LOCAL TRANSPORT CARD". Hii iwe kadi maalumu itakayo jazwa pesa kupitia mifumo ya kifedha ya hapa hapa nchini (Local Banks, Mpesa, Tigo Pesa, Z-pesa, Airtel Money Halopesa nk) na kutumika kwake iwe kwa scan pekee katika kutoa pesa kwenda kwenye vyombo husika (Magari au Kampuni ya Usafiri wa Umma).
Hii kadi itumike katika vyombo vyote vya Usafiri wa Umma hapa nchini kuanzia Bodaboda, Bajaji, Daladala na Mabasi ya Mikoani.
1. Kwa kupitia njia hii itapunguza sana usumbufu katika usafiri wa Umma kuanzia Daladala za mitaani, Magari ya Wilayani na yale ya kwenda mikoani.
2. Tutakuwa tumeondoa kabisa changamoto ya usumbufu kwa mwananchi kutembea na fedha nyingi atakapo kusafiri.
3. Tutaimarisha Usalama wa nchi kwa Serikali, Abiria na Wamiliki wa vyombo vya Usafiri.
4. TRA mtakusanya mapato yenu kwa njia rahisi sana sambamba na nyie halmashauri husika mliopo maeneo husika.
NB
Malipo salama kwa maendeleo yetu sote.
5. Tutakuwa watu waliostaarabika, tutalindana utu wetu na tutajipatia maendeleo kwa haraka.
Karibu.
Bodaboda na bajaji! Sijui skana watazitunza wapi huku vumbi, upepo, jua na mvua ni vyao.Hii ndio Tanzania, amani iwe nanyi !
Napendekeza tuwe na kitu kinachoitwa "LOCAL TRANSPORT CARD". Hii iwe kadi maalumu itakayo jazwa pesa kupitia mifumo ya kifedha ya hapa hapa nchini (Local Banks, Mpesa, Tigo Pesa, Z-pesa, Airtel Money Halopesa nk) na kutumika kwake iwe kwa scan pekee katika kutoa pesa kwenda kwenye vyombo husika (Magari au Kampuni ya Usafiri wa Umma).
Hii kadi itumike katika vyombo vyote vya Usafiri wa Umma hapa nchini kuanzia Bodaboda, Bajaji, Daladala na Mabasi ya Mikoani.
1. Kwa kupitia njia hii itapunguza sana usumbufu katika usafiri wa Umma kuanzia Daladala za mitaani, Magari ya Wilayani na yale ya kwenda mikoani.
2. Tutakuwa tumeondoa kabisa changamoto ya usumbufu kwa mwananchi kutembea na fedha nyingi atakapo kusafiri.
3. Tutaimarisha Usalama wa nchi kwa Serikali, Abiria na Wamiliki wa vyombo vya Usafiri.
4. TRA mtakusanya mapato yenu kwa njia rahisi sana sambamba na nyie halmashauri husika mliopo maeneo husika.
NB
Malipo salama kwa maendeleo yetu sote.
5. Tutakuwa watu waliostaarabika, tutalindana utu wetu na tutajipatia maendeleo kwa haraka.
Karibu.
Wataweza tu. Unajua mwanzo huwa mgumu.Bodaboda na bajaji! Sijui skana watazitunza wapi huku vumbi, upepo, jua na mvua ni vyao.
Daladala zetu unajua au kama haujui huwa zinajaza abiria kiasi hata simu binafsi inakosa nafasi. Hebu fafanua haya.