Local Tanzania TV channels

H20

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
341
Reaction score
170
Wadau amani iwe kwenu. Naomba mwenye utaalamu wa channels settings anipe frequencies za local Tanzania TV channels zinazopatikana kwenye satelite dish. Ahsanteni
 
Wadau amani iwe kwenu. Naomba mwenye utaalamu wa channels settings anipe frequencies za local Tanzania TV channels zinazopatikana kwenye satelite dish. Ahsanteni


Hilo dishi limeshaona satelite?
 
H20

Je unataka kufunga LNB ipi? KU-Band au C-Band katika dish lako?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…