Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Naunga mkono ...fraga mechi za battle kwa batooo naona alikuwa anawasaidiaa msimbaziKila mchezaji ana uzuri wake... Mechi kama ya coastal utamuona nyoni vizuri tu kwa kuwa coastal wanacheza mpira kama wa simba mpira laini shida inakuja ukicheza na watu wababe wanaokuja mwilini ndio utamuhitaji Fraga.
unampima nyoni kwa mechi na coast?Wakati umefika sasa tuwathamini wachezaji wetu wa ndani kama Erasto Nyoni ambaye ni mchezaji wa viwango ambaye amekutana na changamoto kubwa ya kupata nafasi katika club yetu ya Simba ambayo imejaa vipaji laukama taifa linamtegemea sana kwenye safu ya ulinzi. Mara nyingi watu humuita kiraka kutokana na uwezo wake wa kucheza nafasi mbali mbali.
Kumekuwa na tetesi kwamba Simba wanatafuta withholding midfielder( beki mkabaji) kum-replace Fraga ambaye amepata majeruhi ya muda mrefu na kwamba upo uwezekano wa Simba kuuvunja mkataba wake. Kwa maoni yangu kutokana na uwezo alionao Erasto Nyoni na ni mzuri kuliko Fraga (my opinion), Simba wangeanza kumtumia Nyoni kama withholding midfielder ambaye ana height, skills na physique nzuri kuliko Fraga ambaye ataimarisha ulinzi na kupeleka mashambulizi mbele.
Mechi ya juzi na Costal Union alidhihirisha hilo na ukuta ulikuwa imara sana. Hivyo akisimama Mkude na Nyoni kama withholding midfielders kamwe hatuto m-miss Fraga. Tunamtakia matibabu mema anyway, huko kwao Brazil.
Nyoni amecheza kwa kiwango cha juu sana mechi zote mbili Tanzania dhidi ya Tunisia.unampima nyoni kwa mechi na coast?
π€£π€£π€£π€£ Kwa nini msiwe tu mnatumia kiswahili kama english ni ya Ugoko? I was wright??? Kweli? π³π³π³π³π³I was Wright. Coach heeded my advice.
Wright βI was Wright. Coach heeded my advice.
Je ata heza pekee yake?,lazima awepo mchwzqji mwingine maana anachoka na kuna kuumia au kuumwaWakati umefika sasa tuwathamini wachezaji wetu wa ndani kama Erasto Nyoni ambaye ni mchezaji wa viwango ambaye amekutana na changamoto kubwa ya kupata nafasi katika club yetu ya Simba ambayo imejaa vipaji laukama taifa linamtegemea sana kwenye safu ya ulinzi. Mara nyingi watu humuita kiraka kutokana na uwezo wake wa kucheza nafasi mbali mbali.
Kumekuwa na tetesi kwamba Simba wanatafuta withholding midfielder( beki mkabaji) kum-replace Fraga ambaye amepata majeruhi ya muda mrefu na kwamba upo uwezekano wa Simba kuuvunja mkataba wake. Kwa maoni yangu kutokana na uwezo alionao Erasto Nyoni na ni mzuri kuliko Fraga (my opinion), Simba wangeanza kumtumia Nyoni kama withholding midfielder ambaye ana height, skills na physique nzuri kuliko Fraga ambaye ataimarisha ulinzi na kupeleka mashambulizi mbele.
Mechi ya juzi na Costal Union alidhihirisha hilo na ukuta ulikuwa imara sana. Hivyo akisimama Mkude na Nyoni kama withholding midfielders kamwe hatuto m-miss Fraga. Tunamtakia matibabu mema anyway, huko kwao Brazil.
Wright: simple typing error.Wright [emoji777]
Right . [emoji3581]
Heeded. [emoji777]
Heard. [emoji3581]
Nyoni kilaka katika game za kudifance anafaa kusimama na mkude kwa sababu atawasaidia hata mabeki wa Kati wawa pamoja na onyango inamaana nyuma kutatulia na ndiyo maana game ya Nigeria simba walifanikiwa kukaba na kushambulia kwa kushtukiza ambayo na mashambulizi yalikuwa makali...Wakati umefika sasa tuwathamini wachezaji wetu wa ndani kama Erasto Nyoni ambaye ni mchezaji wa viwango ambaye amekutana na changamoto kubwa ya kupata nafasi katika club yetu ya Simba ambayo imejaa vipaji laukama taifa linamtegemea sana kwenye safu ya ulinzi. Mara nyingi watu humuita kiraka kutokana na uwezo wake wa kucheza nafasi mbali mbali.