Wengine mnachanganywa tu mikopo yote karibu riba ziko sawa mkiambiwa % ndogo mnakimbilia mnasahau Kato lako moja la Kila mwezo liko na hiyo %, bima, processing fee, na principle. Wanachofanya Ni kupunguza huku na kuongeza huku ni kukuchanyanyia habari