Sir Teacher
Senior Member
- Nov 16, 2015
- 111
- 99
Kwa walimu walioajiriwa mwaka huu 2015 mwezi wa tano, ivi Loan Board wanaanza kutukata lini pesa?
Kwa walimu walioajiriwa mwaka huu 2015 mwezi wa tano, ivi Loan Board wanaanza kutukata lini pesa?
Loan board hawapo makini kwenye suala LA kufuatilia watu wanaofanya kazi kwenye taasisi zote maana k una watu wengi sana walianza kazi longtime wanashangaa kwanini hawajaanza kukatwa inatakiwa wafuatilie na kutoa adhabu kwawaajiri kama mifuko ya kijamii inavyofanya