Habari zenu wana jf
wale waliokua wanasubiri kuanza application za mkopo hii ndo time yao
kuanzia april 16 2014 na mwisho wa kupokea maombi ni 30 june 2014
Subiri,
Kama bado form six piga paper kwanza andaa viambatisho vyote then result zikiwa out utaapply but ukiweza chukua form napema baada ya paper & kabla ya kwenda JKT.
Subiri,
Kama bado form six piga paper kwanza andaa viambatisho vyote then result zikiwa out utaapply but ukiweza chukua form napema baada ya paper & kabla ya kwenda JKT.
Ndio mkuu nmekusoma vizuri na nimeingia hapo.mimi swali langu nikwamba heslb wamesema mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 june,sasa mpaka tareh hiyo nahisi matokeo yatakua bado.Umesema tunaweza kusubiri mpaka matokeo yatoke ndio tuombe,je hatutakuwa tumechelewa kwa sababu deadline ni 30/6/2014?
Kwaiyo mkuu hii ni issue ya mkopo pekeyake na sio kutuma maombi ya vyuo(TCU) Au vyote vinafanyika muda huohuo wakutuma maombi ya mkopo? naomba utusaidie apo mkuu.
Subiri,
Kama bado form six piga paper kwanza andaa viambatisho vyote then result zikiwa out utaapply but ukiweza chukua form napema baada ya paper & kabla ya kwenda JKT.
hapo nnavyojua unatakiwa ulipe baada ya kuona jna lako kuwa umepata mkopo baada ya kuapply coz kuna rafk yangu alapply mkopo ila jna lake lilikuwepo kwa wale wanaotakiwa kulipa 25% kwanza il aonekane amepata mkopo na inategemea umemalza form 6 mwaka gan coz mwaka huu naona kuna limitation,wanaotakiwa kuapply n wa 2012-2014