jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,254
- 12,805
Sasa utalipaje ada kabla hujajua perc ya mkopo uliyopewa? Ukiendelea kukaa nyumbani na kusubiri bodi itoe mchanganuo unajidanganya, cha msingi nenda karipoti chuo wiki ya kwanza utakuta wamesha bandika kila kitu.loanbreakdown nahisi had tar 29 ila Nakmbka walsema kila kitu ktakuwa OK b4 vyuo havijafnguliwa so nashangaa wengine j3 wanafungua sa sjui wanaendaje chuo. au walpe Ada tu
Pia unaweza usione jina lako kwenye list ya loan board lakini ukienda chuoni unakuta jina lako lipo na mkopo umepewa asilimia kadhaa.
Mimi nashauri nendeni chuoni kila kitu mtakuta huko huko.
Mimi nakumbuka first year nilipewa asilimia 0, hata pesa ya field sikupata nikaambulia boom tu, likini mwaka wa pili huwa wanatoa majina tena nikakuta bodi imeniongezea 80 percnt na pesa ya field juu.