Thank you guys. . .
Ingawa sina uhakika kama nimeshinda au nimepewa ushindi bado nashukuru woooote walionipigia kura na pongezi pia.Nikitoka huku busy niliko ntarudi kusoma post zenu nizijibu kama ambavyo ningependa.
Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za uchaguzi umeshinda kwa kishindo.
JEC ni kamati yenye uadilifu wa hali ya juu na imezingatia, vigezo, hanauni, shera na taratibu. Zaidi ya hayo walio ku-nominate na kukupigia kura ni idadi kubwa sana sana.