Hakuna haja ya kuumiza vichwa dawa yao inachemuka kipindi kikifika hakuna kulala wala hakuna Police atakaye ogopwa patachimbika over Tunisia tumechoka na hawa Magamba wanaosaidiwa na vyombo vya dola ambavyo mishahara yao inatokana na kodi zetu 2015 tutasema enough is enough.