Liyumba kufunguliwa mashtaka mapya

tunataka vielelezo
sio taarifa za miataani

kwani tuhuma zinatakiwa ziwe na ushahidi
 
tunataka vielelezo
sio taarifa za miataani

kwani tuhuma zinatakiwa ziwe na ushahidi

Mwandishi ameweka wazi kwamba hizi ni TETESI na sio TUHUMA.........hivyo basi tusubiri tuone kama ni kweli au la! ..........Taarifa zote zinaanzia mitaani.
 
mwandishi ameweka wazi kwamba hizi ni tetesi na sio tuhuma.........hivyo basi tusubiri tuone kama ni kweli au la! ..........taarifa zote zinaanzia mitaani.

poa kaka
 
Kazi kweli kweli. Hayo si mashtaka. Naamini watakuja na mashtaka mapya ya msingi ambayo dhamana yake itakuwa reasonable na atatimiza masharti na kutoka siku hiyo hiyo or a day after. Ni haki yake awe nje kwa dhamana, hivyo apewe dhamana ambayo ni attainalbe. Kila mtu ni mkosaji kwa namna moja au nyingine, kinachotafatiana ni uzito na aina ya kosa. Dhamana kama iko wazi ni haki ya mtuhumiwa ili aweze kuwa nje na kuweza kuandaa defense yake. Pole Amatus Liyumba, hiyo ni sehemu ya maisha ila tu hata kama pesa ililiwa, hukula peke yako, it was a chain of beneficiaries (very high level!!!).
 
Mwandishi ameweka wazi kwamba hizi ni TETESI na sio TUHUMA.........hivyo basi tusubiri tuone kama ni kweli au la! ..........Taarifa zote zinaanzia mitaani.

kisemwacho kipo kama hakipo kinakuja........hasa kwa hawa mafisadi wa mali zetu pasipo kujali ni papa au nyangumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…