Liv'pool tuongee

Liv'pool tuongee

LUIS EMAZ

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
39
Reaction score
3
Mechi ya livpool v Aston vill mwanzo gerrard alicheza namba 6 tukapoea kabisaa.Je anafaa kuwa mbadala wa Lucas?.
 
Mechi ya livpool v Aston vill mwanzo gerrard alicheza namba 6 tukapoea kabisaa.Je anafaa kuwa mbadala wa Lucas?.

Duh kaka unachoongea n kwel tulipotea lkn miaka yote gerrad huwa n namba 8/10 kama unakumbuka kipnd cha mascherano6,alonso8 na gerrad 10 hafu torres 9 ila mbadala wa leiva n ALEN ndo atacheza 6 kaka au ww unaonaje?
 
Captain fantastic kucheza chini hawezi kabisa alishindwa kabisa na yeye kucheza chini siyo mzuri sana si uliona alivyoingia

Lukas ndy sasa mambo yake yakaanza kuonekana zile pass zake ndefu zenye macho kama ile iliyoleta penati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom