Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Kiboko ya Man U kesho kutwa ni ile kikosi cha jana tu!
Van Goal atapiga mbili,Kagawa moja na Valensia moja = 4 - 0.
mbona tofauti na hizi data zako?sina timu mimi Fc Barcelona na spainTukiwa tunajiandaa kwa mtanange kati ya Liverpool v Man U kwenye Barclays EPL siku ya jumapili keshokutwa tarehe 23 September kuanzia saa 9.30 alasiri, si vibaya tukafanya mapitio na kulinganisha mafanikio ya kihistoria kati ya clubs hizi 2 zenye mataji mengi between them kuliko club nyingine yoyote ya Uingereza.
mbona data zako zinapishana na hizi
Liverpool F.C.
Kwa kifupi, Liverpool ndiyo club yenye mafanikio makubwa zaidi kuliko Man U ukilinganisha jinsi trophy cabinets zao zilivyosheheni .....na ninaposema "trophy" nina maana ya "trophy" kweli, si mbao!!
Liverpool F.C.
sina timu ila data nilizopata ni hizo hapo juu
Embu check hizi statistics hapa chini.....Liverpool wamewazidi Man U kwa mataji 3 zaidi (i.e 44 v 41).
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 65"]
[TR]
[TD="width: 54%"] Competition[/TD]
[TD="width: 24%"] Liverpool[/TD]
[TD="width: 19%"] Man U[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] League titles[/TD]
[TD="width: 24%"] 18[/TD]
[TD="width: 19%"] 19[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] FA Cups[/TD]
[TD="width: 24%"] 7[/TD]
[TD="width: 19%"] 11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] League Cups[/TD]
[TD="width: 24%"] 8[/TD]
[TD="width: 19%"] 4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] European Cup/Champions League[/TD]
[TD="width: 24%"] 5[/TD]
[TD="width: 19%"] 3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] Cup-Winners' Cup[/TD]
[TD="width: 24%"] 0[/TD]
[TD="width: 19%"] 1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] Uefa Cup[/TD]
[TD="width: 24%"] 3[/TD]
[TD="width: 19%"] 0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] Uefa Super Cup[/TD]
[TD="width: 24%"] 3[/TD]
[TD="width: 19%"] 1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] Intercontinental Cup[/TD]
[TD="width: 24%"] 0[/TD]
[TD="width: 19%"] 1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] Club World Cup[/TD]
[TD="width: 24%"] 0[/TD]
[TD="width: 19%"] 1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 54%"] Total[/TD]
[TD="width: 24%"] 44[/TD]
[TD="width: 19%"] 41[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nawatakia Man U kila la kheri keshokutwa katika harakati zao za ku-play catch-up dhidi ya superiority ya Liverpool, hususani kwenye mataji ya UEFA!
Jamaa kapewa red ya ajabu sana aisee....red card lol..Man U inaandaliwa ushindi
huyu ref ni cancer survival, huenda Galzers walilipia matibabuJamaa kapewa red ya ajabu sana aisee....
Huyu Refa hana tofauti na Howard Webb