Live Updates : Tuzo za VPL toka Mlimani City

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
3,675
2,000
Tukusanyikeni hapa kupata updates za tuzo mbalimbali kwa wanamichezo walioshiriki VPL msimu 2019-2020 nikiwarushia matangazo moja kwa moja toka ukumbini.

Kwa kweli ukumbi umependeza sana. Ingawa naumia wameweka mirangi ya simba but ukumbi umependeza sana. Hii nadhani imeondoa ile dhana ya kufanya ukumbi uonekane kama wa kikwete kule dodoma.

Sisi yanga hatutakalia marangi hayo mekundu.tumekubaliana kuja na vitambaa vya kutandika chini.1.Hongera sana dogo Novatus Dismas kwa kuwa Mchezaji bora chipukizi🔥🔥

2. Kocha bora VPL 2019/2020 ni Sven Vandenbroeck SIMBA ....💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

3. Keeper Bora ni Aishi Manula

4. Ramadhani Kayoko mwamuzi bora kijana

5. Nicholas Wadada Beki Bora

Screenshot_20200807-221307~3.png
Screenshot_20200807-220908~2.png
Screenshot_20200807-220939~2.png
IMG-20200807-WA0051.jpg
IMG-20200807-WA0050.jpg
IMG-20200807-WA0049.jpg
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,109
2,000
Hongera Ihefu kwa kupanda daraja.
Zaidi ya DSM Mbeya ndio Mkoa pekee kihistoria kuwa na timu tatu zinazoshiriki ligi kuu kwa msimu mmoja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom