Live Updates; Simba Vs Mafunzo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Nimegundua watu hufungua uzi wakigundua simba imechapwa au inaelemewa, sasa mbona jana hamkuja na vinyuzi vyenu?

Habari gani kama simba ingechapwa na Mafunzo? si mngekuwa mmejazana huku?
 
Kweli kabisa Mkuu
kwa kuwa tupo wenyewe, kiukweli ilikua tia majitia maji, wapo wachezaji wanahitaji muda kuchezea simba halisi na wapo ambao wanaonekana wamechoka kuchezea sima, wigo huo uliifanya simba kuonekana kama vile Panone au Friends Rangers, safari ni ndefu sana na si ajabu hata Plujim (kocha Yanga) kuanza kuchonga kwamba haioni simba ya kufika japo nusu fainali
 
simba wao wakishaifunga yanga bhasiiiiii
 
Nimegundua watu hufungua uzi wakigundua simba imechapwa au inaelemewa, sasa mbona jana hamkuja na vinyuzi vyenu?

Habari gani kama simba ingechapwa na Mafunzo? si mngekuwa mmejazana huku?

Nimegundua pia hata wewe umefungua uzi huu baada ya Simba kushinda wangefungwa usingefungua
 
mechi tumecheza jana uzi nimefungua leo, huoni nilikua nawasikilizia?
 
nisingefungua sababu akina Mkolaji wangeshafungua zamani sana
 
mechi tumecheza jana uzi nimefungua leo, huoni nilikua nawasikilizia?

Sasa huna sababu ya kulaumu mtu kwa sababu wewe mwenyewe mshabiki hujiamini kufungua uzi mapema unasikilizia wenzio wafungue.
 
ukweli kwa simba hii siwezi kujiamini hata kidogo, nyuma hakuna uhakika, kati twabahatisha, mbele twaanguka anguka tu
 
nina wasiwasi na mipango madhubuti ya Rais wetu Aveva:
Eidha ameshindwa kazi ama kuna watu wana muhujumu chini kwa chin
 
nina wasiwasi na mipango madhubuti ya rais wetu aveva:
Eidha ameshindwa kazi ama kuna watu wana muhujumu chini kwa chin
if you dont know where you are going any road will take you there .......aveva hana mpango mkakati anaoufuata
 
Kwani ni kiongozi gani,ukiacha wale waliojenga majengo ya timu,amewahi kuwa na mipango mikakati kwenye hizo timu zenu za kariakoo?

mipango mikakati na endelevu ipo azam tu hapa East africa.
 
Prof. Mbetwe aliwahi kutengezeza mwaka jana sijui umefia wapi.....................................
Kwani ni kiongozi gani,ukiacha wale waliojenga majengo ya timu,amewahi kuwa na mipango mikakati kwenye hizo timu zenu za kariakoo?

mipango mikakati na endelevu ipo azam tu hapa East africa.
 
Kwani ni kiongozi gani,ukiacha wale waliojenga majengo ya timu,amewahi kuwa na mipango mikakati kwenye hizo timu zenu za kariakoo?

mipango mikakati na endelevu ipo azam tu hapa East africa.

Apendaye chongo huita kengeza!
 
Nimegundua watu hufungua uzi wakigundua simba imechapwa au inaelemewa, sasa mbona jana hamkuja na vinyuzi vyenu?

Habari gani kama simba ingechapwa na Mafunzo? si mngekuwa mmejazana huku?

Mkuu Amavubi kwa heshima na taadhima nakuomba ufungue uzi wa Simba v JKU, sisi watumishi wako tuko tayari kuchangia. Naitakia Simba kila la heri ili isonge mbele tukutane pamoja.
 
Last edited by a moderator:

mkuu, bilashaka na wewe unaweza ukafungua huo uzi kama una chakuongea juu ya Simba vs JKU najua pia wanazi wenzio wapo watajitokeza; Amavubi sasa hivi yuko busy anafikiria cha kumshauri Aveva ili kuweza kukwamua Timu yetu bwana, mind you, we are fighting for Long Run Strategy
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…