Nipo njiani nakuja apo japo sjatupia uzi wa mbeya city timu yetu jiji letu
Tafuta hata skafu au mzura wa Mbeya city, ndomyana karibu karibu tuwafunge haw mtibwa sukari!
mbona hakuna updates ?
sina hamu na Mbeya site tangu wauze mechi
Mtapata uwanja ushatapika hapa daaaaah
Hakuna tiketi zimeisha watu wapi njee ni hakuna linaloendelea
wakuu mlioko uwanjan tupen matokeo
Siku hizi jamii forum hakuna tofauti na facebook, zamani live updates hasa jukwaa la michezo zilikuwa zinarushwa kila dakika, siku hizi ni story tu wala hupati matokeo
Mechi ndo imeanza tunawapa na yanayojili dakika ya 3 bila bila