Simba wanacheza mpira wa taratibu sana, wanacheza kama wameshashinda.
Dakika za mwisho ndio wanataka waanze kucheza mpira wa kushambulia kwa kasi.
Kasi inabidi ianze dakika ya kwanza.
Watu tumesafiri hadi Mtwara halafu tunashuhudia wachezaji wanacheza kama wapo kwenye mazoezi vile.
Hii ni Aibu kwa wachezaji na kocha wao.