Dodoma inawenyewe kama uamini uliza kilichomkuta lema kule tabata, na mnyika wakati anafungua matawi ubungo. Ni jf walimuokoa kwa kutotoa picha za mkutano
Nakushukuru Mkuu.
Huyo ni mlevi wa Wanzuki, anadhani wagogo bado wanajivunia eti dodoma ni ngome ya CCM! Wataisoma M4C this time!
Mkuu Molemo, naomba unipe statistics ya uchaguzi wa madiwani Tanzania yote! nataka kujua nikata kangi zinashindaniwa kwasasa! nihayo tu!
Asante kiongozi! tuko pamoja!Mkuu mzeewandimu
Ni kata 29 zinashindaniwa kote nchini na uchaguzi utakuwa tarehe 28.10
sahizi kamanda john mnyika kapanda anaongea na wananchi
Asante kiongozi! tuko pamoja!
kamanda john mnyika anamalizia mkutano na anatangaza mchango wanamabadiliko wamechangia laki moja naelfu sitin tatu miasita hamsin huu ni mchango wa wapenda mabaliko wa kata ya msalato tu.

mkuu badili heading ni DODOMA sio DODOMO
mkutano umemalizika na sasa kamanda john anaenda kufungua tawi
Nasikia huyo mgombea udiwani wa magamba ni akari magereza mstaafu na alikuwa store pale gereza la isanga,amefanya ufisadi wa kutisha na aliposhtukiwa aliumwa knoma ikabidi auze baadhi ya mali zake kwa ajili ya kuhonga na kwenda kwa waganga.ana mashamba kule msalato kama nini,anaitwa mzee ally ni muha wa kigoma
tatizo kwenye search itasumbua,sioni kama ni tatizo maadamu inaeleweka
Dodoma inawenyewe kama uamini uliza kilichomkuta lema kule tabata, na mnyika wakati anafungua matawi ubungo. Ni jf walimuokoa kwa kutotoa picha za mkutano
Nasikia huyo mgombea udiwani wa magamba ni akari magereza mstaafu na alikuwa store pale gereza la isanga,amefanya ufisadi wa kutisha na aliposhtukiwa aliumwa knoma ikabidi auze baadhi ya mali zake kwa ajili ya kuhonga na kwenda kwa waganga.ana mashamba kule msalato kama nini,anaitwa mzee ally ni muha wa kigoma
Mkuu mzeewandimu
Ni kata 29 zinashindaniwa kote nchini na uchaguzi utakuwa tarehe 28.10
Dodomo ni wapi?