live up date.M4C dodomo

IBRAAH

Senior Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
161
Reaction score
47
leo kutakuwa na mkutano wa chadema dodoma mjinieneo la msalato nitaendelea kuwapa Up date.sahz wafuasi wa ccm wameleta fujo wameteka kamanda mmoja makamanda walio baki 2naenda kumkomboa.
 
Thanks Mkuu, usisahau kutupa mapicha humu.
 
Pamoja mkuu,makamanda wa chama dume cdm kila kona...usisahau mapicha mkuu.
 
Huo ni mwendelezo wa vuguvugu la mabadiliko
 
leo kutakuwa na mkutano wa chadema dodoma mjinieneo la msalato nitaendelea kuwapa Up date.sahz wafuasi wa ccm wameleta fujo wameteka kamanda mmoja makamanda walio baki 2naenda kumkomboa.

mkuu badili heading ni DODOMA sio DODOMO
 
Achana na wazushi we endelea kutueleza kinachojiri mkutanoni mkuu. Makamanda gani wanahutubia huko?
 
mwambie hakuna kanisa linalo itwa chadema

mkuu mbona huku kigoma makamanda walifanya vikao na viongozi wa kanisa, nawashauri makamanda tumieni njia hiyo ya kupitia kwa viongozi wa kiroho labda wagogo watabadilika.
 
pamoja sana, pls updates updates
 
Dodoma inawenyewe kama uamini uliza kilichomkuta lema kule tabata, na mnyika wakati anafungua matawi ubungo. Ni jf walimuokoa kwa kutotoa picha za mkutano
 
Dodoma inawenyewe kama uamini uliza kilichomkuta lema kule tabata, na mnyika wakati anafungua matawi ubungo. Ni jf walimuokoa kwa kutotoa picha za mkutano
Ilikuwa inawenyewe sasahv M4C
ndio habari ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…