figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,191
- 64,607
Ok. Kafa au hajafa, swali ni je kaficha nini hapo mbele?
n
Nini kimetuna hapo mbele au kafa kiume
suala la kuuwa vibaka/ wezi huwa sikubaliani nayo kabisa.
ni nani asiyekosa!?? basi na kina lowasa, chenge, rostam na kinana. tuwapige mawe nao kwa nafasi zao wameiibia tz. ila badala ndio tunawapa uchifu.
mh this is bad!!Sielewi inakuwaje watu wanaamua kuchukua sheria mikononi mwao!!
Roba ya mbao?Vibaka sio. Ushawahi kabwa roba ya mbao?. usiombe. Mia