T Taeyong Senior Member Joined Sep 29, 2019 Posts 169 Reaction score 218 Aug 9, 2021 #1 Habari wana JF, msaada tafadhali kwa yoyote anafahamu App ambayo inaweza fanya live speech translation mfano kama kiongozi anazungumza yenyewe inakua inaonesha maneno yanayosemwa kama Subtitle.Nitangulize Shukrani.
Habari wana JF, msaada tafadhali kwa yoyote anafahamu App ambayo inaweza fanya live speech translation mfano kama kiongozi anazungumza yenyewe inakua inaonesha maneno yanayosemwa kama Subtitle.Nitangulize Shukrani.
M Mwalimu wa Zamu Tz JF-Expert Member Joined Jan 2, 2021 Posts 1,094 Reaction score 2,825 Aug 9, 2021 #2 Google translator
T Taeyong Senior Member Joined Sep 29, 2019 Posts 169 Reaction score 218 Aug 9, 2021 Thread starter #3 Shukran mkuu, ngoja nijaribu.
msigazi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2017 Posts 471 Reaction score 352 Aug 10, 2021 #4 Mwalimu wa Zamu Tz said: Google translator Click to expand... Inapatikana wapi? Je Inaweza kuwekwa kwenye youtube?
Mwalimu wa Zamu Tz said: Google translator Click to expand... Inapatikana wapi? Je Inaweza kuwekwa kwenye youtube?
T Taeyong Senior Member Joined Sep 29, 2019 Posts 169 Reaction score 218 Aug 10, 2021 Thread starter #5 msigazi said: Inapatikana wapi? Je Inaweza kuwekwa kwenye youtube? Click to expand... Play store ipo