list nzima siwezi kuitaja bali ntakutajia ninao wakumbuka:
KASEJA, CNAVARO, NGASA, JOVU,ABDI KASSIM/BABI,ADEBAYOR/BOKO, NSAJIGWA, MORRIS, KAZIMOTO, MWASKA na NDITI. hao ndo wamecheza kipindi cha kwanza. mchezaji wa congo Mputo namba 8 anawanyanyasa sana mabeki wa tanzania.
tanzania wanacheza 3-5-2 wakati congo wakicheza 4-4-2.
congo wanacheza kitimu kuliko tanzania.
mpira kipindi cha pili ndo kinaanza makipa wote wamebadilishwa. congo wamemuingiza kidiaba na tanzania wamemuingiza kipa namba moja wa azam jina limenitoka. kipindi cha pili kishaanza.
mpira kipindi cha pili ndo kinaanza makipa wote wamebadilishwa. congo wamemuingiza kidiaba na tanzania wamemuingiza kipa namba moja wa azam jina limenitoka. kipindi cha pili kishaanza.
kuna mabadiliko yamefanyika kwa upande wa tanzania.Wameingia;
1.mwadini ally (kipa)
2.Uhuru suleiman
3.Nsa Job
4.nassor said choro.
walio toka bado sijawapata. ntawapeni updates nikipata but kaseja na Ngasa wametoka.

boko amekosa goli la wazi baada ya kuzembea. hata kadiaba kashakubali ni goli lakini kichwa cha adebayor kikakosa mpira yeye na nyavu kipa kashapotea. wachezaji wetu hawajitumi
wakuu ni kwamba ametoka Mwinyi kazimoto nafasi yake imechukuliwa na JONAS GERARD na ABDI KASSIM akatoka nafasi ya ikachukuliwa na SALUM ABUBAKAR. Hizi ni damu changa wameingiza ili kuwapa uzoefu.
wakuu huyu deokanda anaye chezea tp mazembe amemzungusha na kumuabisha said choro kwa chenga hadi akakaa chini kwa kuchoshwa. ni aibu sana kwa tz. ina maana hana pumzi?