Tip Master JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 511 Reaction score 574 Oct 18, 2015 #1 Salamu naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu gharama pamoja na jinsi ya kupata gari lenye uwezo kama gari linalotembea na screen kubwa kwenye mikutano ya kampen za magufuli
Salamu naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu gharama pamoja na jinsi ya kupata gari lenye uwezo kama gari linalotembea na screen kubwa kwenye mikutano ya kampen za magufuli
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,719 Reaction score 33,922 Oct 18, 2015 #2 vipi mkuu unataka kuanzisha mahubiri nini,,unisaidieko kazi ya uchungaji...