Akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa TFF uliopo Karume, Nasra amesema ana waheshimu Zimbabwe wana timu nzuri, ndani ya miaka minne wameshacheza nao zaidi ya mara nne, mapungu yaliyojitokeza katika michezo iliyopita wamefanyi kazi na hivyo kesho ana imani watafanya vizuri.
Tangu Mzee Mwinyi alipothibitisha kwamba 'Tanzania ni kichwa cha Mwendawazimu' sijawahi kuwekeza hisia zangu kuzishabikia timu za Tanzania maana kichwa cha mwenda wazimu yeyote aweza kunyoa