A abdulahsaf JF-Expert Member Joined Aug 31, 2010 Posts 858 Reaction score 131 May 6, 2011 #1 Radio Mzalendo Zanzibar Welfare Association UK, inapenda kuwatangazia wazanzibari wote ambao wanaishi UK ya kuwa Radio Mzalendo | Mzalendo.net maandilizi ya mkutano mkuu pamoja na uchaguzi mdogo wa nafasi zilizowachwa wazi. Taarifa ya tarehe ya mkutano huo pamoja na uchaguzi huo mtaarifiwa mwishoni mwa wiki ijayo Inshaallah. Attachments muhammad-ibrahim-sanya.jpg 28.4 KB · Views: 59
Radio Mzalendo Zanzibar Welfare Association UK, inapenda kuwatangazia wazanzibari wote ambao wanaishi UK ya kuwa Radio Mzalendo | Mzalendo.net maandilizi ya mkutano mkuu pamoja na uchaguzi mdogo wa nafasi zilizowachwa wazi. Taarifa ya tarehe ya mkutano huo pamoja na uchaguzi huo mtaarifiwa mwishoni mwa wiki ijayo Inshaallah.
K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,732 Reaction score 15,394 May 6, 2011 #2 Ni wazo zuri lakini mngefanya la Radio ya Tanzania nzima mngepata watu sana