P Pure Mathematics Senior Member Joined Mar 8, 2012 Posts 174 Reaction score 52 Apr 1, 2012 #1 CCM wameendeleza mikakati yao ya kucheza mchezo mchafu ili washinde uchaguzi wa Meru East. Naendelea kufatilia hili jambo then ntawajuza baadae..
CCM wameendeleza mikakati yao ya kucheza mchezo mchafu ili washinde uchaguzi wa Meru East. Naendelea kufatilia hili jambo then ntawajuza baadae..
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 Apr 1, 2012 #2 Pure Mathematics said: CCM wameendeleza mikakati yao ya kucheza mchezo mchafu ili washinde uchaguzi wa Meru East. Naendelea kufatilia hili jambo then ntawajuza baadae.. Click to expand... ungefuatilia,then ndo ungetupa michakato!
Pure Mathematics said: CCM wameendeleza mikakati yao ya kucheza mchezo mchafu ili washinde uchaguzi wa Meru East. Naendelea kufatilia hili jambo then ntawajuza baadae.. Click to expand... ungefuatilia,then ndo ungetupa michakato!
Mlitika JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 457 Reaction score 260 Apr 1, 2012 #3 Tujadili nini katika matope hayo uliyoturushia?
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Apr 1, 2012 #4 Tena alete haraka maji ya kitusafisha, nahisi mrusha matope ni ripota wa ITV maana jana hawakuripoti chochote wakisubiri kutukarahisha leo. Mlitika said: Tujadili nini katika matope hayo uliyoturushia? Click to expand...
Tena alete haraka maji ya kitusafisha, nahisi mrusha matope ni ripota wa ITV maana jana hawakuripoti chochote wakisubiri kutukarahisha leo. Mlitika said: Tujadili nini katika matope hayo uliyoturushia? Click to expand...