tatizao la huyu Mkombozi atakuwa mchagga ambapo ni kiswahili kiliwapiga chenga
huwezi kusema gari linawaka na ukalipanda UKIUNGUA?
km hakuna Fire-extinguisher teremka panda lingine
Dr Slaa kwaambieni ukweli vijana mnabebwa tu na hamjui mnakoenda
mwenzenu kapanda Pipa na haliwaki linapepea