Live kutoka kuzimu!

Uyu hapa ,karibu pande hizi ujifunze,

Kisha uchague pa kwenda utapobadili form.

Mbinguni au Kuzimu Kisha JEHANUM!!
 
Huyu ni mgonjwa wa akili?
Kwamba wanaotoa mateso huko ni MAPEPO
Sasa je, mapepo hayo yametumwa na nani? Mungu?
Maana adhabu ya huko ni ya Mungu ina maana Mungu ana uswahiba na mapepo.
Imani zingine za kipumbavu.
 
Huyu ni mgonjwa wa akili?
Kwamba wanaotoa mateso huko ni MAPEPO
Sasa je, mapepo hayo yametumwa na nani? Mungu?
Maana adhabu ya huko ni ya Mungu ina maana Mungu ana uswahiba na mapepo.
Imani zingine za kipumbavu.


Kuzimu ni gereza.

Nyampala wa kuzimu, aliyepewa kukaa huko Kwa muda ni shetani na mapepo wakisubiri HUKUMU.

Mwanadamu hakuumbiwa kwenda huko, ni uamuzi wake, mtu ,Makao yake ni Mbinguni alilokuwako kabla.

Ulimfuata shetani Kwa kumkataa Mungu, unakuwa chini ya shetani,

Ukifa, anakupokea na kukugeuka na kuanza kukutindua kupitia askari wake mapepo.

Huku duniani anakuonyesha kama pombe, UZINZI na wizi nk nk ni ujanja, ila ukifa, anakutesa na kukudhihaki kwanini hukumsikia Mungu.

Maneno uyasomayo, yatakushuhudia mbeleni,

Ni maombi yangu siku zako duniani zikiisha, uwe umeokoka kabla ya kufa.

Ubarikiwe 🙏
 
Yesu si mnasema alishakufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu? Sasa kwanini mimi nikachomwe?
Huruma ya Mungu iko wapi?
Kuokoka is a myth na ulokole ni kama ugonjwa wa akili.
 
Niliposoma heading nkashangaa eti live kutoka kuzimu😅
Kuzimu ni HALISI, ndio maana ya Live,

Hata sasa tunavyoongea, Kuna watu wanaaga Dunia, wanakamatwa na kupelekwa huko kwenye shimo kuu lisiloshiba Wala kujaa.

Ubarikiwe 🙏
 
Trayvess Daniel nikupe mfano,

Ujumbe huu hauhusiani na dini,

Ni habari njema kwa watu wote,

Kwamba ukicheza na DHAMBI, ukafia dhambini, utaenda kuzimu,

Sasa upate UWEZO wa kutenganisha ujumbe wa Dini na habari njema kwa watu wote inayopasa kuingia Jukwaa la hoja mxhanganyiko
 
Huu ni utoto wa hali ya juu. Kwa hiyo Mungu anafanya kazi na mapepo?
Jehanamu yako hiyo iko kwenye miliki ya Mungu au ya mapepo walio na vitengo vya kutesa?
Upuuzi kama huu alikuwa akihubiri mpuuzi mmoja Wa TAG alikuwa anajiita Askofu Emanuel Lazaro. Mahibiri yake yalikuwa yamejaa hadithi kama hizi za kusadikika na alifanya utoto wangu uwe wa uoga sana. Sitakaa nimsamehe hata kama amekufa mpumbavu yule.
Alifanya hata niogope kuchinja sungura wangu niliokuwa nikiwafuga.
 
Kizazi Cha nyoka hakitaki kuambiwa ukweli.

Kwahiyo hata neno la Mungu pia wapingana nalo?

Yesu alisimulia habari za Lazarus na tajiri ulidhani ni utani sio!
 
Kizazi Cha nyoka hakitaki kuambiwa ukweli.

Kwahiyo hata neno la Mungu pia wapingana nalo?

Yesu alisimulia habari za Lazarus na tajiri ulidhani ni utani sio!
Toa upumbavu hapa. Hujajibu chochote nilichouliza.
 
Toa upumbavu hapa. Hujajibu chochote nilichouliza.
Kizazi Cha nyoka kinataka kuambiwa mazuri tu,

Kuonywa kwao ni kutishiwa,

Ndio ninyi mnazini Kisha m ajifariji kuwa unaweza kutubu sirini, ukasamehewa, ukazini Tena kimya mkeo asijue, ukatubu kimya kimya Kisha ukaendelea na MAISHA.

Ingekuwa kheri kwako upate kugeuka na kuacha UOVU, kuzimu ni real. Na kuna moto usozimika.
 
Peleka wehu wako uko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…