Live: Kombe la FA Tanzania-Kutoka Kaitaba, Kagera vs Mbao FC

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,355
2,736
Leo utachezwa mtanange wa Kombe la FA kwa hapa bongo ambapo Kagera Sugar watakwaana na Mbao FC. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Bukoba mjini kupitia KASIBANTE FM RADIO - Home

Watangazaji ni Abdul Razak Majid 0767 650 076 - tuwemo
Mwingine ni Tafawa Said - 0754 321084
 
Mpaka sasa Kagera kashakalia Kimoja Goal limefungwa kipindi cha kwanza kwa shuti kali sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom