danny ni mchezaji mzuri wampe muda atulie na pia kama hali itatulia simba. danny ni mchezaji mzuri ....ana nguvu ana speed. sema alikuwa na tension na pressure kubwa toka kwa mashabiki. na hili ndo lilikuwa kikwazo na bado ni kiwazo. tunaweza kurudia ile simba ya okwi,mafisango na sunzu. ilikuwa simba nzuri na hao ni wachezaj ambao simba itawakumbuka sana. simba kiukweli bado ni team nzur tatizo tu ni wazee wa miba ndo wanaharibu team