Mkuu wanatafuta sifa kwa njia nyepesi nyepesiJana tumeona matangazo mubashara ya kamati za bunge kuhusu madini ya almasi na Tanzanite.
Kamati ya bunge imewasilisha kwa Waziri Mkuu ambaye naye leo tena itakuwa mubashara wakati wa kuwasilishwa kwa Mkuu.
Bahati mbaya ripoti hii haikujadiliwa ndani ya bunge ambapo tungepata michango ya wabunge wetu.
Bunge mubashara hakuna lakini mawasilisho ya kamati yanafanyika mubashara,tumekosea!!!
Hawana nia njema, kuna watu wao humo ndani wanataka kuwabeba.Unajiuliza kwanini hawataki ijadiliwa bungeni?
Hapo ndio unaanza kupata hofu kuhusu nia njema yao!
Unafikiri ingejadiliwa ndani ya bunge kungekuwa na tija gani kama kumtaja tu aliyepewa donge la almasi bunge limeshindwa!!!Jana tumeona matangazo mubashara ya kamati za bunge kuhusu madini ya almasi na Tanzanite.
Kamati ya bunge imewasilisha kwa Waziri Mkuu ambaye naye leo tena itakuwa mubashara wakati wa kuwasilishwa kwa Mkuu.
Bahati mbaya ripoti hii haikujadiliwa ndani ya bunge ambapo tungepata michango ya wabunge wetu.
Bunge mubashara hakuna lakini mawasilisho ya kamati yanafanyika mubashara,tumekosea!!!
Too lowBunge mubashara hakuna lakini mawasilisho ya kamati yanafanyika mubashara,tumekosea!!!
Suluhisho ni mawasilisho mubashara ya report ambayo imetoka ndani ya serikali hiyo hiyo,ya chama hicho hicho na watu hao hao,funny!!!Too low
Bunge mubashara sio suluhisho la matatizo ya watanzania,mlizoea kuona maigizo na mapovu tu kwa sababu mlipenda kushindana kutoa mapovu bungeni
Kwahiyo ripoti za tume ndio zinatakiwa kuwa mubashara ili dikteta amwage povu?Too low
Bunge mubashara sio suluhisho la matatizo ya watanzania,mlizoea kuona maigizo na mapovu tu kwa sababu mlipenda kushindana kutoa mapovu bungeni
Siwezi kupoteza muda wangu kuangalia upuuzi na usanii wa serikaliJana tumeona matangazo mubashara ya kamati za bunge kuhusu madini ya almasi na Tanzanite.
Kamati ya bunge imewasilisha kwa Waziri Mkuu ambaye naye leo tena itakuwa mubashara wakati wa kuwasilishwa kwa Mkuu.
Bahati mbaya ripoti hii haikujadiliwa ndani ya bunge ambapo tungepata michango ya wabunge wetu.
Bunge mubashara hakuna lakini mawasilisho ya kamati yanafanyika mubashara,tumekosea!!!
Unajiuliza kwanini hawataki ijadiliwa bungeni?
Hapo ndio unaanza kupata hofu kuhusu nia njema yao!
shughuli za Rais wa watanzania ni lazima watanzania wote tuone.Kwahiyo ripoti za tume ndio zinatakiwa kuwa mubashara ili dikteta amwage povu?
Tungekuwa na nia njema haya tungeyamaliza mapema tu..Hawana nia njema, kuna watu wao humo ndani wanataka kuwabeba.
Wabunge ndiyo wanatuwakilisha na ndio tumewatuma lakini dikteta hataki asemwe vibaya anataka asifiwe tuushughuli za Rais wa watanzania ni lazima watanzania wote tuone.
Nani anataka kumuona lema akimwaga matusi,au sugu akiwasha kipaza sauti akitukana
Zile zilizopelekwa kwa rais nini kimetokea hadi sasa zaidi ya kutumbuana? Kuna hata mmoja muhusika amefilisiwa na kufungwa?halafu wakijadili bungeni nini kitatokea zaidi ya maneno? EPA, escrow,lugumi, meremeta
Tatizo kubwa ni mnapenda sana kuongea, umbea, na vijiwe vya kahawa
Bunge la CCM hili, halina usafi wa kujitumbua lenyewe, hata wapinzani ni walewale tu
bora wapeleka kwa huyu ambaye angalau anaonekana kama sio wa kwao
Tumewatuma kutukana?Wabunge ndiyo wanatuwakilisha na ndio tumewatuma lakini dikteta hataki asemwe vibaya anataka asifiwe tuu
Mara nyingi hizi kamati teule za spika wa Bunge huwa zinajadiliwa Bungeni hapa Anayejinasibu kwamba siyo Dhaifu kaonyesha udhaifu mkubwa sanaJana tumeona matangazo mubashara ya kamati za bunge kuhusu madini ya almasi na Tanzanite.