Neymar hakuwa anajitunza, na pia mpira anaocheza unamfanya agongwe gongwe sana, ilihitajika autunze sana mwili wake, starehe nyingi alipaswa kuweka kando.
Neymar ni mburudishaji bora sana, kumtizama ni burudani, japo kuna wakati burudani alikuwa anazidisha kiasi anaweza kuharibu move ya goli, kwakwe burudani kwanza kisha basic baadae, ronaldinho alikuwa anafanya badic yenye burudani.
Ila neymar ni gifted zaidi ana skills nyingi mnoo