Lisu, maisha yake amkabidhi Rais Samia

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,231
Reaction score
28,955
BBC Swahili wanaripoti mahojiano Yao na Tundu lisu akisema anarudi home ila maisha yake anamtegemea rais Samia .

Hapa Mungu na Chadomo wamepigwa kwapa na Sasa jamaa anawatumainia wanaccm ndio wamlee .

Kazi iendelee

USSR
 
Si waliaminisha Watu kuwa ni ADUI WA JPM,Sasa so JPM hayupo wasiwasi wa nini?

Au ni kweli alikuwa msaliti wa nchi??ndumilakuwili na lema wake....hivyo ni ADUI WA nchi na SI ADUI wa JPM??
 
Rais Samia hanaga noma yule maza,ila akimzingua mama na yeye atazinguliwa.
 
Si waliaminisha Watu kuwa ni ADUI WA JPM,Sasa so JPM hayupo wasiwasi wa nini?

Au ni kweli alikuwa msaliti wa nchi??ndumilakuwili na lema wake....hivyo ni ADUI WA nchi na SI ADUI wa JPM??

Adui wa nchi ndio Nani?. Mbona alikuja akafanya kampeni na wengi wakampokea uwanja wa ndege. Na mikutano yake watu wengi waliuhudhuria.

Adui wa nchi ni yule ambaye siku ya kufa kwake watu walishangilia na kufanya sherehe.
 
Na akimzingua Lissu naye atazinguliwa. Hii nchi hakuna mbabe wa kuzingua watu.
[emoji23][emoji23][emoji28]***** watu mmevurugwa.

ila Lisu namuona anataka kurudi bila masharti yake ya awali,inamaana ana imani na mama au?
ngoja tuone!.
 
[emoji23][emoji23][emoji28]***** watu mmevurugwa.

ila Lisu namuona anataka kurudi bila masharti yake ya awali,inamaana ana imani na mama au?
ngoja tuone!.
Aliahidiwa kuteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Cape Verde.
 
Si waliaminisha Watu kuwa ni ADUI WA JPM,Sasa so JPM hayupo wasiwasi wa nini?

Au ni kweli alikuwa msaliti wa nchi??ndumilakuwili na lema wake....hivyo ni ADUI WA nchi na SI ADUI wa JPM??
Mkuu hapa tunajadili uhai, maisha na afya ya mtu: baba, mume, kiongozi na raia wa Tanzania.

Wengi humu wasinge acha kuleta michosho na kero zako kwa kuzingirwa na wale vibaka wa panyaroad. Sasa hapa anazungumza mtu aliyemiminiwa risasi lukuki za moto.
Yawezekana anazo taarifa tusizokuwa nazo.

Jaribuni kuwa binadamu.
 
[emoji23][emoji23][emoji28]***** watu mmevurugwa.

ila Lisu namuona anataka kurudi bila masharti yake ya awali,inamaana ana imani na mama au?
ngoja tuone!.
Masharti yalikuwa ya kujibaraguza tu yale. Utamwekea masharti mkuu wa nchi wewe ni nani? Una umuhimu gani kwenye nchi mpaka uweke masharti?
Yule jamaa #dishlimetilt ndiyo maana anasema na kufanya mambo ya ajabu.
 
Adui wa nchi ndio Nani?. Mbona alikuja akafanya kampeni na wengi wakampokea uwanja wa ndege. Na mikutano yake watu wengi waliuhudhuria.

Adui wa nchi ni yule ambaye siku ya kufa kwake watu walishangilia na kufanya sherehe.
Unajua sheria za mgombea wa urais?
Unajua mgombea wa urais mmoja akidhurika mchakato mzima wa uchaguzi unaharibika?
Usalama wa kipindi cha kampeni na mda usio kampeni ni tofauti kiumakini.
 
Sasa hapa kuna tofauti gani na yule aliyesema mh. mungu.

Duuh.

Maisha yako unamkabidhi mwanadamu mwenzako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…