Hapana, yeye hajui aanzie wapi? Nilienda nae HQ NECTA wakasema wanashughulikia lakini bado tatizo lipo palepale, ameambiwa ajaribu kuangalia jina lake kama lipo kwenye list ya wenye vyeti incomplete that's why nahitaji kama kuna mwenye hiyo list ya halmashauri ya wilaya ya Hai au mkoa wa Kilimanjaro