Mad Scientist
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 215
- 77
Hongera kwa mliochaguliwa na Masomo mema http://www.kiu.ac.tz
hiki chuo magumashi we unawapa hongera kwa kuchaguliwa hapo
Kila chuo kina magumashi
Nisaidie process za kuhama chuo
KIU wanafungua lini?
hata nabii musa alipotaka kuvusha wanajeshi wake baharini alivyopasua bahari akawaambia watu ake njia mlikuwa mnaitaka ni hii alivyoona wamepita bila mqji kurudi na yy ndo akapita nyi nendeni mje kuwasimulia wajao kwamba tulikua tunaambiwa
Hongera kwa mliochaguliwa na Masomo mema http://www.kiu.ac.tz