LISSU: Sina Ndoto ya kuwa Mwenyekiti CHADEMA

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,364
27,570
Lissu amehojiwa na gazeti la mwananchi kuhusu mambo yanayozungumzwa ya yeye kutaka kuwa mwenyekiti. Lissu anasema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti chadema.

Lakini tujiulize hapo, makamu mwenyekiti mbona nayo ni nafasi ya uenyekiti. Kipindi mbowe yupo jela yeye Kama makamu ndio alikuwa anaendesha chama. Kwa nini adanganye na kusema Hana l ndoto ya kuwa mwenyekiti ikiwa anaitumikia nafasi kama hiyo?

Pia kwani kuwa na ndoto ya uenyekiti ni dhambi? Lissu anaogopa nini? Lissu anahofia nini? Lissu kwa nini hajiamini?

N.B
Hii habari imeripotiwa na gazeti la mwananchi, Mimi nimeifikisha tu hapa maana kumekuwa na tabia ya kutukana watu wanaofikisha habari kutoka kwenye vyombo vya habari sababu tu unakuta hawaipendi hiyo habari
Screenshot_20230202-100927_1.jpg
 
View attachment 2503825
Sasa wewe unapata taabu gani, ndyo hana ndoto kama alivyosema, ila akichaguliwa anaweza kutumika
 
Lissu amehojiwa na gazeti la mwananchi kuhusu mambo yanayozungumzwa ya yeye kutaka kuwa mwenyekiti. Lissu anasema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti chadema.

Lakini tujiulize hapo, makamu mwenyekiti mbona nayo ni nafasi ya uenyekiti. Kipindi mbowe yupo jela yeye Kama makamu ndio alikuwa anaendesha chama. Kwa nini adanganye na kusema Hana l ndoto ya kuwa mwenyekiti ikiwa anaitumikia nafasi kama hiyo?

Pia kwani kuwa na ndoto ya uenyekiti ni dhambi? Lissu anaogopa nini? Lissu anahofia nini? Lissu kwa nini hajiamini?

N.B
Hii habari imeripotiwa na gazeti la mwananchi, Mimi nimeifikisha tu hapa maana kumekuwa na tabia ya kutukana watu wanaofikisha habari kutoka kwenye vyombo vya habari sababu tu unakuta hawaipendi hiyo habari
View attachment 2503825
Mtoa mada wewe una ndoto au huna, vip wewe mtu anaweza kukulamizisha uwe na ndoto usiyoitaka ili hali una utashi na akili timamu na uwezo unao? Wewee ndoto yako ni ipi? If you are Great thinkers? Are you Thinking or trying to Think??
 
Lissu ni akili kubwa ccm wajinga hawamwelewagi na wakishindwa hoja hukimbilia bunduki na risasi kwa sasa ni hoja kwa hoja
 
Back
Top Bottom