Lissu asema Bunge Live mpaka CCM itoke madarakani

Kwanza TV

Member
May 2, 2017
33
69
[/MEDIA]​

Mwanasheria wa CHADEMA, Rais wa Chama cha Wanasheria (TLS) na mbunge Tundu Lissu amesema kuwa Bunge Live tusahau kwa sasa mpaka CCM itoke madarakani!

Katika mahojiano na Kwanza TV, Lissu ameeleza pia kuwa yeye kama Rais wa TLS anaona kuwa kuna umuhimu wa kuhakikisha kuwa kikatiba juhudi zinafanywa kupunguza madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pia kuhakikisha viongozi wanafuata katiba na siyo kufikiri matamko yao ndiyo sheria.
 
Mbona linaonesha kila siku either TBC 1 au TBC 2
Huo ulaivu anaozungumzia ni upi?
Hapa sasa hivi naangalia bunge live kupitia TBC1.
Mimi hata simuelewi huyu muhedhimiwa...
Inawezekana amekariri tatizo ambalo lilisha patiwa ufumbuzi!
 
bunge haliishii maswali na majibu,bunge ni mijadala hii unayoona ni madwali na majibu na hii ni asubuhi tu jioni hakuna bunge.
 
Nilisema huyu Lissu ataifanya TLS Jukwa lake la kisiasa la kujitafutia umaarufu wa kisiasa NA kuendeleza siasa za chama chake.

Ama kweli sisi wanasiasa ni watu waajabu sana, hilo jukwa la wanasheria waliobobea wanakubalije taasisi yao inatekwa nyara NA wanasiasa.

Lissu ameshindwa kiendesha siasa bungeni na kupitia chama chake, sasa yeye NA Chadema wameweka nguvu TLS.
 
Kishito Weee!

Ungeiacha akili yako iwe huru kidogo usingejiongopea kipuuzi namna hiyo.
 
kwani lazima ashirikishe hicho chama cha TLS kwenye hoja zake....Mbona anakitumia hivyoo.? kwani hawezi kusimama mwenyewe tuu bila kuingiza TLS.
 
Nilisema huyu Lissu ataifanya TLS Jukwa lake la kisiasa la kujitafutia umaarufu wa kisiasa NA kuendeleza siasa za chama chake.

Ama kweli sisi wanasiasa ni watu waajabu sana, hilo jukwa la wanasheria waliobobea wanakubalije taasisi yao inatekwa nyara NA wanasiasa.

Lissu ameshindwa kiendesha siasa bungeni na kupitia chama chake, sasa yeye NA Chadema wameweka nguvu TLS.
Hivi Lissu kwa sasa haruhusiwi kuongea chochote kwa sababu ni rais WS TLS?
 
Nilisema huyu Lissu ataifanya TLS Jukwa lake la kisiasa la kujitafutia umaarufu wa kisiasa NA kuendeleza siasa za chama chake.

Ama kweli sisi wanasiasa ni watu waajabu sana, hilo jukwa la wanasheria waliobobea wanakubalije taasisi yao inatekwa nyara NA wanasiasa.

Lissu ameshindwa kiendesha siasa bungeni na kupitia chama chake, sasa yeye NA Chadema wameweka nguvu TLS.
Huo ni mtazamo wako tyuuu, kwani inaonekana una maono finyu
 
kwani lazima ashirikishe hicho chama cha TLS kwenye hoja zake....Mbona anakitumia hivyoo.? kwani hawezi kusimama mwenyewe tuu bila kuingiza TLS.
Huna hoja ya maana yeye ni raisi TLS, anayo haki ya kuongea pale anapoona sheria zinakiukwa, Kama ww ni mwanasheria mpinge kisheria
 
Mbona linaonesha kila siku either TBC 1 au TBC 2
Huo ulaivu anaozungumzia ni upi?
Hapa sasa hivi naangalia bunge live kupitia TBC1.
Mimi hata simuelewi huyu muhedhimiwa...
Inawezekana amekariri tatizo ambalo lilisha patiwa ufumbuzi!
Kweli Tanzania bado tuna matatizo mkuu live ya Bunge huijui?
 
Nilisema huyu Lissu ataifanya TLS Jukwa lake la kisiasa la kujitafutia umaarufu wa kisiasa NA kuendeleza siasa za chama chake.

Ama kweli sisi wanasiasa ni watu waajabu sana, hilo jukwa la wanasheria waliobobea wanakubalije taasisi yao inatekwa nyara NA wanasiasa.

Lissu ameshindwa kiendesha siasa bungeni na kupitia chama chake, sasa yeye NA Chadema wameweka nguvu TLS.
Umeandika nini sasa? Kahojiwa kaongea.. Kwani we mtu akikufuata kwako akakuuliza mwanao anasoma darasa la ngapi utamjibu akamuulize boss wako aliyekuajiri? Tapta kabisa
 
Mbona linaonesha kila siku either TBC 1 au TBC 2
Huo ulaivu anaozungumzia ni upi?
Hapa sasa hivi naangalia bunge live kupitia TBC1.
Mimi hata simuelewi huyu muhedhimiwa...
Inawezekana amekariri tatizo ambalo lilisha patiwa ufumbuzi!
Ndoroooooobo wewe hebu tokomea huko
 
bunge haliishii maswali na majibu,bunge ni mijadala hii unayoona ni madwali na majibu na hii ni asubuhi tu jioni hakuna bunge.
Mimi hata siwaelewjana nimeangalua bunge hadi kwenye saa mbili na nusu usiku lilifungwa
Nasena tena
Bunge linaoneshwa either TBC1 au TBC2
Wewe ukiwasha Tv hata asubuhi ya saa tatu ukalikosa TBC1 tafuta TBC2 utalipata na jioni kwrnye Maswali na majibu ni hivyo hivyo
Acha kukariri
Bunge lipo live!
 
Watu ambao hawana kazi za muhimu za kufanya ndio wanataka bunge live, kwa sababu wana muda wa kuangalia TV.

Bora kudai hata waweke redioni, nitaelewa kiaina.

Kwa kampeni ya njia hii ya kutafuta kura, kwangu hampati ng'oooo

Wakili fanya kaziacha kutafuta kiki ambayo haiongezi kitu

Shusheni vya muhimu, nchini sio wote wana angalia TV haswa walipo wengi kwenye maeneo muhimu ya kupiga sera.

Hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom