hiyo anaachia mijitu inayotumia tumbo kufikiriKwanini nawewe usiwe na kesi mahakamani ili upate umaalufu?
janja ya Chadema imebaki hiyo tu...
Wamemshindwa imebidi wamuachie tuHivi kesi zooote mliawahi kumtia hatiani lissu???
Si hata ya CCM imebaki Kula hela za majanga Tu!janja ya Chadema imebaki hiyo tu...
Likewise nyie bila misiba hakuna rambirambi. Hakuna rambirambi ma shule mahospitali na miundombinu haijengwi. Kwahiyo tunakushangaa sana. Bora TAL anatumia utaalamu wake bila kutegemea nguvu ya policcm nk nkNi dhahiri kabisa kuwa uhai wa Chadema unategemea mbeleko ya Lisu pekee.
Na pia ni jambo lililowazi kuwa Njia pekee ya kumpatia Lisu umaarufu ni uwepo wa mashtaka dhidi yake au kwa yeyote alimradi aende mahakamani.
Bila mahakama Lisu hana hoja wala ushawishi wowote. Nje ya mahakama ni kama samaki nje ya maji; hafurukuti, hana ujanja wala mbinu ya kusurvive.
Hivyo Bila kesi; hakuna lisu wala Chadema.
Chadema imebaki kupata umaarufu wa msimu kwa kutegemea kupanda kwa Lisu mahakamani.
Je? mbeleko hii itaweza kuibeba Chadema mpaka lini? tusubiri na kuona.
Ni dhahiri kabisa kuwa uhai wa Chadema unategemea mbeleko ya Lisu pekee.
Na pia ni jambo lililowazi kuwa Njia pekee ya kumpatia Lisu umaarufu ni uwepo wa mashtaka dhidi yake au kwa yeyote alimradi aende mahakamani.
Bila mahakama Lisu hana hoja wala ushawishi wowote. Nje ya mahakama ni kama samaki nje ya maji; hafurukuti, hana ujanja wala mbinu ya kusurvive.
Hivyo Bila kesi; hakuna lisu wala Chadema.
Chadema imebaki kupata umaarufu wa msimu kwa kutegemea kupanda kwa Lisu mahakamani.
Je? mbeleko hii itaweza kuibeba Chadema mpaka lini? tusubiri na kuona.
Umaalufu=umaarufuKwanini nawewe usiwe na kesi mahakamani ili upate umaalufu?