Democracy tunaijua ss tulio ndani ya CHADEMA huwezi kutufundisha, sasa ccm ndio hamuna democracy kabisa sasa Ili tuone kama angalau kidogo mna ka democracy 2020 toeni ruksa kwa mgombea yeyote mwenye sifa za kugombea achukue form kwa ajiri ya kugombea cheo cha uraisi.