Lissu acha kushambulia watu, nadi sera zako watu wakuelewe

Kalisaliti taifa kwa kushirikiana na acaccia na kaona haitoshi sasa ameingia mkataba na mabwenyenye wa kibelgiji kuwapa rasilimali zetu kwa ahadi wamsaidie kuingia ikulu,ndio maana nikakuuliza unaishi sayari ipi labda upo sayari ya Jupiter
Your president utake usitake
IMG_20200911_143443.jpeg
IMG_20200907_213903.jpeg
IMG_20200906_212246.jpeg
 
Mabwenyenye kupitia wakala amsterdam walipenyeza billioni 6 na ushee kwenye ile taasisi kwa ajili ya kampeni ya huyo yuda iskariote bahati nzuri vyombo vya ulinzi na usalama viligundua mapema
Mbona kila siku hao mabwenyenye mnawaomba hela ninyi watu wajinga
 
Bora Lissu anashambulia kwa hoja nzito,Nyie si mshambulia kwa bunduki
Tulieni ufisadi wenu uumbuliwe,mlidhani hatarudi sasa mnaanza kulialia.
 
Wewe kwani kakulazimisha umsikilize au kakulazimisha umpigie kura? Wewe nenda zako kamsikilize Magufuli anavyotoa vitisho watu wampe kura kwa nguvu.

Lissu aendelee hivyo hivyo ndio style tunayotaka. Hizo nondo ndizo zinawafaa madikteta.
 
Mabwenyenye kupitia wakala amsterdam walipenyeza billioni 6 na ushee kwenye ile taasisi kwa ajili ya kampeni ya huyo yuda iskariote bahati nzuri vyombo vya ulinzi na usalama viligundua mapema
Wee ni kilaza kweli kwa hiyo zile hela Thrc zilikuwa za lisu?punguza ujinga kijana
 
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Lissu ni laana kwa nchi na bado kidogo tu ataokota makopo!
 
Kuhusu polisi kumyaka Lissu aeleze jinsi alivyoshambuliwa! Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza ukasema aliyeshambuliwa risasi 36 baada alikuwa na fahamu! Risasi moja tu mtu unaenda kaputi, mbona hauwasemi hawa?
Mimi nazungumzia tabia ya Lissu kushambulia watu ila wewe sijui unazungumzia.
 
Sisi watu ndo tunawapenda watu wanaowashambulia na kuwaponda wale wanaotudhalilisha na kutunyanyasa!

Amefanya homework yake. Anaongea kile watu wanataka kusikia.

Hizo ilani zenu ni changa la macho. Mnazitangaza mkishapata mnafanya yasiyokuwemo.

Msiyemtaka karudi. Ngoja awanyooshe mnyooke.

NB: Safari hii hakuna kumuachia MUNGU. Mambo yetu tunamalizana kivyetu vyetu.
Hao,aliowatuhumu wao wanahadhi.IPI.kiasi cha kutotajwa au ajabu wao...hadharani?
 
Mimi nazungumzia tabia ya Lissu kushambulia watu ila wewe sijui unazungumzia.
Mtoto wa Dada yake Meko, Doto James, ambae kwa sasa ndie ana saini miamala yote ya serikali “Hazina”, alirushwa vyeo ghafla kutoka kuwa afisa TANROADS mpaka katibu mkuu HAZINA pindi mjomba wake Meko alipopata Urais”

TunduALissu
 
Mimi hadi leo bado nina kinyongo kwa majibu aliyotujibu Tundu Lissu wakati anamsafisha Lowassa kwa zile tuhuma za ufisadi.
 
2015 Ukawa walisema tatizo ni mfumo na sio mtu,wakati huo ndio wanamsafisha Lowassa.
 
Anaelezea jinsi ccm ambavyo hamheshimu sheria za nchi huyu mwanyika hakutakiwa kuwa mgombea.billion moja aliyolipa kwa DPP kwa kukili makosa ya uhujumu uchumi.ccm mbona vilaza sana ninyi?
Kwahiyo DPP kawa hakimu? mtu si mpaka atiwe hatiani na mahakama? mtu akinaswa kibao akiwa polisi akasema kweli nimeiba ndio kawa mwizi? Lissu asitake kutupotosha. Hawa chadema mbona wanataka kuwa wajinga sana?
 
Au hujui alikili mahakamani ndio maana alilipa bilion
 
Anachofanya Lissu ni kusema yale ambayo wananchi wasingeweza kuyasema kwa hofu ya Magu! Ni wangapi wako magerezani kwa sababu ya kuthubutu kusema haya ambayo Lissu anayasema? Ni Wangapi ambao wamefunguliwa kesi za kuonewa mfano Utakatishaji wa fedha kisa kumwambia ukweli Magufuri?
Jamani mengine tusimlaumu bure Lissu!
Kipi wananchi hawawezi kukisema? mbona humu JF yote yameandikwa na hakuna mtu ashakwenda segerea? wacheni watu kuwaaminisha uongo, JPM akitaka Lissu aende sero itashindikana? Jumbe alikaa ndani sembuse Lissu?
 
Back
Top Bottom