1. Mimi naona nianzie kwenye aina za vyakula vya kuepuka kula wakati wa ujauzito:-
Epuka vyakula vifuatavyo:-
- samaki wakubwa wa baharini (Marlin, Orange roughy, Tilefish, Swordfish, Shark, Mackerel (king fish), Tuna, n.k). Aina hizi za samaki zina madini mengi ya mercury ambayo yanaweza kumdhuru mtoto).
- maziwa yasiochemshwa, au maziwa yasiochemshwa vizuri.
- nyama mbichi, au nyama ambayo haijapikwa na kuiva vizuri, mayai mabichi, au mayai ambayo hayajaiva vizuri.
- vinywaji vyenye alcohol, au caffeine.
2. Vyakula muhimu vya kula wakati wa ujauzito:-
Kula vyakula vifuatavyo:-
- Carbohydrates Organic fruits, vegetables, beans and whole-grain breads and pastas. In terms of fruits and vegetables, aim to have a serving at each and every meal or snack. Remember, the more colorful (e.g. blueberries, broccoli, sweet potatoes, etc.), the better.
- fish (cold-water fish)-like tilapia, cat fish, etc. These kind of fish have very low levels of mercury.
- Proteins Cooked egg whites, chicken, turkey, soy, protein powder, low-fat dairy products and lean beef.
- Fat Eat as much good fat as possible to support proper brain and nervous system development. Optimal choices include nuts, seeds, avocadoes, olive oil, flaxseed oil, fish oils, cold-water fish and omega-3 eggs.
- Fruits.
http://truestarhealth.com/members/cm_archives12ML3P1A139.html