Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,083
- 34,859
Pole Sana lakini umekwenda Hospitali kufanyiwa uchunguzi? Nenda Hospitali ya Muhimbili wakuchunguze kisha uje hapa utuambie wamekuambia kitu gani? ikishindikana jaribu kuwasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu Address hii hapa fewgoodman@hotmail.comMziziMkavu na wana jf wengine naombeni ushauri wenu. mimi nina tatizo la miscarriage kila ninaposhika mimba. ya kwanza nilishika miaka miwili iliyopita lakini iliharibika siku ambayo ilitimiza miezi miwili. mwezi uliopita nilishika mimba ya pili lakini imekaa mwezi mmoja tu. na kuharibika siku ilipotimiza mwezi mmoja. sijawahi kufanya abortion wala kuzaa. umri wangu ni miaka 28.
MAAMBUKIZI YA BAKTERIA AU FANGASIahsante MziziMkavu, sijafanyiwa uchunguzi bado ila ntafanya hivyo soon. hapo kwenye maambukizi ni maambukizi gani hasa yanayoweza kusababisha miscarriage?
MziziMkavu mbona salmon ni very very safe kula kwa wajawazito...hapo umeandika avoid kula salmon
Heee icho kitumbo duh
Kwi kwi kwi kimetulia hiki...ukiona mjamzito ana kitumbo chenye shape kama hii basi ujue ni kinjemba kinakua humo tumboni.
Na tumbo likiwa kama water melon je?
Kibinti kinakuwa ndani ya tumbo la mjamzito...na mimba kama kubwa mjamzito akisimama mbele yako na kukupa mgongo ukaweza kujua kwa kumuangalia kwamba ana mimba basi ni kibinti pia, lakini kama huwezi kujua kama ni mjamzito basi ni kinjemba. Sikumbuki hii niliisikia/niliisoma wapi ila nimefanyia utafiti wa wanawake wanane hadi sasa accuracy yangu ni 100% (Wanawake wanane utafiti wa BAK...A very small sample)
What about belly button? Wanasema kikitoka nje during pregnancy,u having a baby boy...or if unapenda kula spicy food pia
Hii nimeisikia pia ila sijaifanyia utafiti...Ila yule Halle Berry katika ile picha kitovu kilikuwa kinaonekana kimekuwa kikubwa cha haja na akajifungua kinjemba. Ipo pia va vyakula anavyopenda kula mjamzito hata kichefuchefu katika semester ya kwanza wengine wanadai kinahusiana na gender ya mtoto ingawaje hii wengine waliipinga kwa kudai kwamba katika mimba mbili au zaidi kichefuchefu kilikuwa kama kawa lakini wakajifungua watoto wa gender tofauti.
Yeah wanasema kama unasumbuliwa sana na morning sickness katika first trimester unakua una baby girl...
MziziMkavu mbona salmon ni very very safe kula kwa wajawazito...hapo umeandika avoid kula salmon
Ujiwa ulezi hauna madhara kwa mama mjamzito.Mzizimkavu nn madhara ya kunywa uji wa ulezi kila siku kwa mama mjamzito???