ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 555
msomi wa uchumi yupo ndani ya chupa mkuu!Labda balaza la mtihani lilimuonea huruma kidogo!conclusion si kila mwenye elimu kubwa ana upeo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo,wengi ni wasomi uchwara!
Mkuu muanzisha mada aamemnukuu prof Ibrahimu HarunaLipumba!!!Badala ya kumshambulia Lipumba, mnatakiwa mumshambulie muanzisha thread kwa sababu haya ni maneno na mtazamo wake; sio Lipumba.
cHADEMA HII ? SIAMINI
siku Serekali itapozuia MOU na kulibadilisha baraza la Mtihani wa NECTA Kuwa Chombo huru, basi matokeo ya watz yatakuwa sio kwa mujibu wa mtu dini yake kama inavyotokea Vyuo vikuuMkuu kwani wewe ulisoma elimu dunia au ulisoma elimu harela tu?kwani huko madrasa huwa mnatumia majina mangapi?
sasa si atishe maandamano ya chama chake akawatoe hao wakristo pale necta halafu tuwekwe sisi muslim? Kama cuf haitakufa kifo cha mende kwa udini uliopitiliza!Naamini Prof Amegusa moyo wa wakiristo hapa tz. Yaani NECTA
hata Chadema ni chama cha Kidini. tfauti ya dini tu hapa. Chadema 99% ya viongozi wake ni wakiristo. na majimbo waliochkua yote 99% ya wapiga kura wake ni wakiristoNiliwahi kuchangia mada kuhusu CUF,nikasema,CUF ni chama cha kidini,wana hidden agenda.Kwa matamshi haya ya Lipumba yanatoa picha kamili.Cha kuwasaidia ndugu zangu ni nyie mjibiidishe kwenye shughuli za maendeleo,hamna mtu ambaye atawaletea maendeleo zaidi ya mtu mwenyewe.Hawa viongozi watataka kutumia migongo yenu nyinyi Waislam kujinufaisha wao.
umeona eeee! Nna bosi wangu huyo, bure ya ghali! Lol!tatizo hawa wenzetu wasomi na wasio wasomi wengi wao hawana tofauti.
Mkuu nilijua utasema hivyo. lkn siku serekali itapobadili NECTA na kufuta MOU ni wazi Bunge litafuka MOTOsasa si atishe maandamano ya chama chake akawatoe hao wakristo pale necta halafu tuwekwe sisi muslim? Kama cuf haitakufa kifo cha mende kwa udini uliopitiliza!
Ameishiwa huyu mbaba !
huo ndo ukilaza uliopitiliza, ulevi huu wa dini utaharibu taifa letu mpaka prof.Mkuu unataka niaminisha ya kuwa baraza la mitihani hutumia jina moja tu la mtahiniwa?
nashangaa tatizo ukishakuwa au kushirikiana na ccm tu.... hata ukiwa na phd kumi zote zinapotea ....unakuwa sawa na kama mtoto wa chekechea
siku Serekali itapozuia MOU na kulibadilisha baraza la Mtihani wa NECTA Kuwa Chombo huru, basi matokeo ya watz yatakuwa sio kwa mujibu wa mtu dini yake kama inavyotokea Vyuo vikuu
Naona mtandao upo chini sana,majibu hayaendani na maswali yaliyoulizwa!!!nauliza tena labda sasa mtandao utakuwa umerudi![Mkuu kwani wewe ulisoma elimu dunia au ulisoma elimu harela tu?kwani huko madrasa huwa mnatumia majina mangapi?]