Lipumba: Waislam Tanzania piganieni haki zenu na msirudi nyuma

Status
Not open for further replies.
cHADEMA HII ? SIAMINI

kwani nani kakuambia uamini Chadema?CCM-Islam,CUF-islam au mwingine?Uislam ni shida duniani,unachokwepa ni nini?badala ufikie uanze jifikia kama upo ktk dini sahihi? unajitahidi ficha huu ushetani.
Every muslim is a potential terrorist, ama kwa uongo wa kupumbaza wasio waislam ama kwa jihad namauaji.Mtikila is right sasa tunaona waislam wa CCM,CUF na wa Chadema na waliopo polisi,UWT,kweny miahdhara, na miskitini na mashirika mengine ya serikali wakiongea lugha moja.

Mungu aliye mkuu atwaumbua dakika za mwisho kama walivyofanya polisi wasio jua kuwa wanafanyia uislam kazi katk mpango wao mkubwa unaohusisha kuuza hadi wanyama wetu.
 
Niliwahi kuchangia mada kuhusu CUF,nikasema,CUF ni chama cha kidini,wana hidden agenda.Kwa matamshi haya ya Lipumba yanatoa picha kamili.Cha kuwasaidia ndugu zangu ni nyie mjibiidishe kwenye shughuli za maendeleo,hamna mtu ambaye atawaletea maendeleo zaidi ya mtu mwenyewe.Hawa viongozi watataka kutumia migongo yenu nyinyi Waislam kujinufaisha wao.
 
sasa lipumba anataka wananchi tuwapigie kura cuf kwenye uchaguzi mkuu, lakini mi nitampigiaje mtu ambae anawatetea waislam lakini hatetei dini zingine? ina maanisha huyu mtu ni mdini so sidhani kama anaweza kupata kura hata moja ya mtu ambae hana dini ya uislam...ataendelea kuzorota na kula ruzuku ya chama mpaka kufa kwake..maana chama chenyewe hakuna viongozi wengine wanaoweza kuchukua uongozi zaidi ya huyo huyo
 
Niliwahi kuchangia mada kuhusu CUF,nikasema,CUF ni chama cha kidini,wana hidden agenda.Kwa matamshi haya ya Lipumba yanatoa picha kamili.Cha kuwasaidia ndugu zangu ni nyie mjibiidishe kwenye shughuli za maendeleo,hamna mtu ambaye atawaletea maendeleo zaidi ya mtu mwenyewe.Hawa viongozi watataka kutumia migongo yenu nyinyi Waislam kujinufaisha wao.
hata Chadema ni chama cha Kidini. tfauti ya dini tu hapa. Chadema 99% ya viongozi wake ni wakiristo. na majimbo waliochkua yote 99% ya wapiga kura wake ni wakiristo
 
Kuna debate nilikuwa nafuatilia sehemu "Osama na wengine wameuvamia uislam au uislam umewavamia akina osama".Watu walithibtisha kwa utaalam sana kuwa uislama ndio umevamia mankind na akina Osama kama watu.

wengine walikuwa wakijuliza kama uislam umeleta "nuru duniani au umekukuta ondoa nuru" majibu yao ni kama vile waislam wengi wafikirvyo rohoni mara wawaonapo makafiri wakijenga maisha mbele yao kwa bidii na moyo mkubwa.Mpaka hapa nina waislam wa kutosha wanokiri hadharani kuwa uislam ni dini ya kiganga, ni dini ya dhiki na inayolea wanaogombania gawio bila kutafuta.Huku wakisema Ukristu kama dini ya furaha na mafanikio.

Imagine makabila yaliyofanikiwa watu wake kwa jasho halali, hayana waislam wengi.Ila ukienda kondoa ,Kigoma,tabora, Singida,tanga,bagamoyo, Lindi,Kilwa ,hata Zenj ni balaa tupu.Hata walipendelewa na kupata nafasi huwa hawadumu sana kama mirija inakatwa.
 
sasa si atishe maandamano ya chama chake akawatoe hao wakristo pale necta halafu tuwekwe sisi muslim? Kama cuf haitakufa kifo cha mende kwa udini uliopitiliza!
Mkuu nilijua utasema hivyo. lkn siku serekali itapobadili NECTA na kufuta MOU ni wazi Bunge litafuka MOTO
 
hizi sera angeingiza kwenye ilani ya CUF angekua amefanya jambo la maana.!
 
Li-Pumba anaongoza C.U.F (Chama cha Udugu wa Freemasons).... Usomi siyo hoja kama hujaelimika.
 
nashangaa tatizo ukishakuwa au kushirikiana na ccm tu.... hata ukiwa na phd kumi zote zinapotea ....unakuwa sawa na kama mtoto wa chekechea


Waislam wote ni fikra zao na wanaendana popote walipo.Tofauti za shule, siasa a maisha haziwatofautishi waislam linapokuja suala la logic.Hii ni pattern ya dunia nzima.Jaribu ku recall kauliza waislam wa makundi yote,toka katika media, misikiti, CCM, CDM,CUF, NSSF, Polisi, SMZ etc wakati makanisa yalipokuwa yakiungua zenj.Tafuta hata yule anayeonekana kuwa ana busara na ustaarabu?
 
ukitaka ujue udhaifu wa wakiristo kwenye masomo Serekali ifute MOU na ibadili NECTA, hapo ndipo utapojua kwamba tz wote ni sawa
 
siku Serekali itapozuia MOU na kulibadilisha baraza la Mtihani wa NECTA Kuwa Chombo huru, basi matokeo ya watz yatakuwa sio kwa mujibu wa mtu dini yake kama inavyotokea Vyuo vikuu

Naona mtandao upo chini sana,majibu hayaendani na maswali yaliyoulizwa!!!nauliza tena labda sasa mtandao utakuwa umerudi![Mkuu kwani wewe ulisoma elimu dunia au ulisoma elimu harela tu?kwani huko madrasa huwa mnatumia majina mangapi?]
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom