Lipumba: Spika anafanya Upendeleo Bungeni.

Lipumba hapo atuweke sawa, spika na magamba hawana tatizo na vyama vya upinzani, wanatatizo na chadema, ye anaongea kwenye media wakat wabunge wake wameridhika na kinachoendelea mjengoni
Profesa yuko sahihi. Hii ni hatua ya kwanza na ya muhimu. Bado hatua ya pili, ambayo ni kuwaelekeza wabunge wake cha kufanya.
 

karibu Tanzania.!!
 
Profesa naye awe mkweli; asitake kuzunguka mbali bila sababu. Badala ya neno wapinzani aweke neno sahihi. Nadhani hakusikia mbunge wa chama chake Habib Mnyaa alivyokuwa anamwaga pumba kwenye media baada ya lile tukio la aibu la kiti cha Spika.
Yale yalikuwa mawazo ya Mnyaa ina maana yeye hastahili kutoa ya kwake?
 
Umenena full bright visiting prof of economy liflect duniani wapo wachache sana km lipumba
 

Hata wapigisha disko mdj wapo wengi lakin cc tunamjua Slaa tu mana ndie maarufu .
ACHA WIVU WA KIKE AU UNAKAA KWA SHEMEGI YAKO. utavalishwa DIRA NA CH**I YA BAMBINO.
Nani kakwambia km LIPUMBA YUKO PEKE YAKE. Km c umbeya na chuki zako.
 

TOBAAAAA makubwa aya!
Wambie na wenzako uko kijijin kama Nyerere kashakufa mana sku zote tunatafuta mtu awapelekee habari lani leo ndio 2mempata . LIPUMBA MBUNGE WA JIMBO GANI?
 
Mheshimiwa lipumba karibu Chadema, ungana na ma‘professa wenzako akina baregu, prof safari, proff kahigi na wengine wasiopenda kujulikana ili mlete mapinduzi kwsnye nchi yetu, vyama ni majina tu Cuf bara ni historia ni vizuri muweke nguvu kwenye chama kinachoonekana kuwa na nguvu kuliko kugawanyika
 
Lipumba aje Huko siasa za katakana bungeni hawezi aje kwa sera ipi nyie wazee Wa viloba then msimamo Hamna mlisema hamumtambui rais mala nchi haitawaliki posho mmesusa Mbowe v8 sitaki vyote mmechukua nyingi magumash
 
Kumbe Profesa Lipumba hawachukii chadema ila wao chadema wanamchukia Profesa lipumba.

Kumbe sio profesa uchwara.

Sasa nauliza swali: Maprofesa kama hawa Tanzania tunao wangapi? Tunawaenzi vipi??

Oh yeah kwani CHADEMA wanasema nini kuhusu PROFESSA?
 
Lipumba mungu ameshampa uwezo Wa elimu hats ulimchukia kazi bure kazi kwetu wanetu watafika kiwango cha prof na walimu Ndio coda fasta
 
prof,mtatiro, sakaya mnasubir nin nn cuf huko wamejaa mandondocha.jiungeni kwene jeshi la nguvu ya umma nchi ikombolewe.cuf wapo watu waliokosa mwelekeo kama mnyaa then mnajumlishwa wote
 
Binafsi nadhani LIPUMBA alikuwa anaongea kwa niaba ya CUF Bara maana kwa visiwani hakuna CUF labda CCM B a.k.a UAMSHO
 
Kama znz kuna ccm b je na kigoma maana chadema wanashirikiana na ccm kuunda halmashuri then sabodo kwa niñi Hawapi pesa cuf badala yake anawapa chadema na sabodo ni kada Wa ccm uamsho joni hoja zao usiwachukie tunawanyonya kweli znz
 
Profesa yuko sahihi. Hii ni hatua ya kwanza na ya muhimu. Bado hatua ya pili, ambayo ni kuwaelekeza wabunge wake cha kufanya.
boss wa cuf ni seif sharrif hamad,huyu ndiye anatoa maelekezo wabunge wake wafanye nini bungeni! mpaka sasa hawana tatizo kabisa na uongozi wa bunge! matamshi ya lipumba na mtatiro ni maoni binafsi siyo msimamo wa chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…