Lipumba: Kiporo cha Kikwete kimeanza kuchacha

Kiporo chenyewe kipo kwao Musoma. Huko kafanya kufuru ya matumizi. Kanunua dizeli lita 900 na matairi 8 kwa magari ya polisi ili alindwe. Kila polisi kadaka laki tano kila siku. Waandishi wa habari nao wamevuna kinoma ili wampambe. Si umeona front pages za baadhi ya magazeti ya jana. Kila mwanahabari kapigwa laki tatu kila siku. Kuna uzi humu ndani umeanzishwa wenye kila comment inayojibiwa vizuri ama na kiporo chenyewe au watu wake waiopo kwenye payroll yake. Hii ndiyo TZ na huyu ndiye waziri wetu. Wakati hayo yakiendelea, nchi ipo kwenye mgao mkali wa umeme wa kimyakimya!
 
kufuatia kauli ya JK kwa wazee wa Dar kuwa Prof. Muhongo, waziri was nishati na madini amemweka kiporo siku tatu, lakini hadi sasa, Rais amekuwa kimya hadi kiporo kimeanza kuchacha
 
Sio kuchacha tu kimeota fungus na mucors, na kinatoa harufu mbaya.
 
Lipumba anajua kuwa Tanzania haina Raisi kuna jamaa tu kabahatika kuukwaa Uraisi ,hivyo hajali yanayotokea ,Kikwete amezidi kukipaua Kiti Cha Uraisi na kuwa si kiti kinachohitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa ,sera iliyojengwa na Kikwete juu ya kiti hicho ni kiti cha kujifurahisha tu.
 
hivi lipumba lini atafanya ziara ya kukijenga chama chake zanzibar?
 
Leo naona ITV wamelazimisha interviews na wanasiasa na kuuliza leading questions kuhusu Prof. Muhongo. Bila shaka ni maelekezo ya Mzee wa Chuki, R. Mengi. Lakini hajui kwamba shinikizo lake ndio litakalomuokoa profesa. Sidhani kama JK ata-bow kwa presha ya huyu jamaa.
 

Huoni aibu.kutungatunga vitu
 
Atakila tu,ama kwa kunyweshwa ama aamue mwenyewe,anywe na Chai au togwa kwa Hali halisi ya Nchi ilipo atakila tu......hatujali kama kitapashwa au kitaliwa cha baridi,ni suala LA muda tu.
 

weka picha baba picha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…