Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa Professor Ibrahim Lipumba alionekana jana usiku akiwa katika hoteli waliyopanga vigogo kadhaa wa CCM Zanzibar wanaohudhuria vikao vya chama hicho Dodoma.
Haikuweza kufahamika mara moja kama Lipumba alikuwepo kama mwalikwa ingawa ilishangaza kumuona nyakati za usiku katika hoteli hiyo akiwa na vigogo hao wa CCM Zanzibar.
Lipumba anatuhumiwa na CUF kwamba anakihujumu chama hicho na amekuwa akishirikiana na CCM kutaka kukiangamiza.