Lipumba amsifu Jecha kufuta matokeo Zanzibar

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
pic+lipumba+3.png


  • Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,amesema ni afadhali Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.

Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.

Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.


Chanzo: Mwananchi
 
Hana choice lazima ampongeze Jecha anatafuta kufanya kitakachomfurahisha boss wake mpya.....Ni masikitiko makubwa mtu mwenye kiwango cha elimu ya Professor kutumika.....
 
Lakini tukio la kufuta matokeo madhara yake tunayaona kiuchumi na kimaendeleo.
Mheshimiwa alisema hategemei misaada lakini wiki mbili zilizopita ulikuja uzi kuonyesha kua msaada kapokea na sharti ni kushughulikia swala la Znz.

Kisha Profesa anasema ni bora matokeo yalivyofutwa.

Ukiona elimu ni ghali jaribu ujinga.
 
Pora pesa uchwara. Mzee mpumbavu sjawahi ona. Kazini kwetu tungempiga risasi nyingi mpaka magazine iishe.
 
Back
Top Bottom